Ujio wa ndege mpya; Je, Waziri Kamwelwe amepotosha Taifa? Atumbuliwe?

Trust None

JF-Expert Member
Feb 12, 2018
1,260
4,415
Juzi Waziri wa Mawasiliano, Isack Kamwelwe aliagiza kukamatwa kwa mtu anayeendesha mtandao wa ATCL Aviation TV kwa kutangaza kwamba ndege nyingine mpya aina ya Dreamliner inakuja nchini.

Mbona leo tunaambiwa inakuja? Je, aombe msamaha na kulipa fidia au achukuliwe hatua za kiutumishi?

Je, shida lilikuwa ni ipi au hakuwa na taarifa?

Upo wapi ushirikiano wa taasisi na watumishi wake?
Screenshot_20191026-145325.png
 
View attachment 1245364

Alitakiwa kupimwa urine
 
Back
Top Bottom