Ujio wa Kiwanda Cha Mount Meru Millers na hatima ya viwanda vidogo vya kukamua alizeti Singida

Tunapoelekea tutaanza kuzindua products badala ya kiwanda, mf Tanzania Breweries wanaingiza sokoni bia ya 'safari lite' tunaenda kuzindua, vodacom wanaanzisha bando mpya ya 'wastaafu bando' tunaenda kuzindua, hakuna namna maana lazima wananchi wasikilize habari za kuzindua mara kwa mara
 
Na Mgama, iringa kinajengwa miller kubwa sana ya sembe, mwekezaji huyo anategemewa kununua sehemu kubwa ya mahindi ya nyanda za juu kusini kwa bei ya soko

Maana yake? Kwa mkulima? Mahindi na alizeti zitakua cash crops as opposed to food crops ilivyo sasa.

Hivyo mjitahidi kurudi kwenye kilimo kinalipa
M
Na modern agrico co ltd ya sumry anajenga grain milling factory kubwa kabisa mjini swaxswax itafungasha unga wa mahindi na ngano
 
Na Mgama, iringa kinajengwa miller kubwa sana ya sembe, mwekezaji huyo anategemewa kununua sehemu kubwa ya mahindi ya nyanda za juu kusini kwa bei ya soko

Maana yake? Kwa mkulima? Mahindi na alizeti zitakua cash crops as opposed to food crops ilivyo sasa.

Hivyo mjitahidi kurudi kwenye kilimo kinalipa
M
Mkuu Mgama ipi, ni hii ya njia ya kwenda Lupembelwa Sengo kwa kuingilia pale Ihemi?
 
Hapa ndo najishangaa au kuwashangaa Watz, pale Mgama na Ihemi ni umbali mdogo tu. Ihemi kuna wale akina Sembe tofauti wanasaga na kusindika unga, pembeni yao ipo mashine nyingine. Ukitoka Ihemi ukija Iringa mjini kuna mtambo wa NMC zamani, ule ukifufuka utatafuna hadi mabua. Ukitoka Iringa ongeza 250km kwenda Dodoma, wanasema unafungwa mtambo mwingine wa nafaka wa kufa mtu. Ok

Ukitoka pale Ihemi kama unaenda Mby, ukifika Makambako kuna Mtambo mwingine wa hatari, ulikosa mahindi kipindi kirefu. Ukipandisha njombe Pale wapo akina Tenende wanalamba mahindi balaa.Songea wapo wale masister wanalamba mahindi vibaya.

Hoja yangu iko hapa, MALIGHAFI ZA MTAMBO HUO WA MGAMA ZITATOKA WAPI,isije ikawa kama viwanda vya alizeti Makambako.
 
Back
Top Bottom