Ujio wa Jumuiya Rasmi ya Watu wa Mwelekeo Tofauti wa Kijinsia - TZ iko tayari?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,460
39,928
Tayari kuna mchakato umeanza wa kuanzisha taasisi rasmi ya gay, lesbian, transgender Tanzanians ili kutetea maslahi yao na kutoka katika maficho yao. Mchakato umefikia mbali na wakati wowote watajitokeza ili kujiweka wazi kuwa nao wapo na taasisi yao itambuliwe rasmi. Swali - Je Tanzania nchi yenye kudai kila mtu anastahili haki "ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake".. iko tayari? Tunajua wapo na wengine ni marafiki na jamaa zetu - je tufute sheria ambazo zimepitwa na wakati kama nchi nyingi duniani zimefanya au tuendelee kudai kuwa si "uafrika na ni dhambi" wakati tunajua kuwa wapo? Mjadala is officially OPEN.
 
nina uhakika watanzania hawapo tayari kwa huu ujio ila kwa vile nchi za magharibi ndio zinatusemea lazima hawa jamaa magay wakubalike kwa shinikizo..kthis will be true new era..sipati picha wakiandamana kwenye mitaa ya dsm lol!!
 
OOooooooooooooh tunaelekea wapi nahurumia sana watoto tuliozaa tuna wakati mgumu wa kujenga familia bora mpaka taifa lililo na maadili maana kila mahali ni vurugu anyway ni kweli kila binadamu ana haki ya kupata mahitaji yakee ya msingi lakini we have to be very very carefully tunapotoa maamuzi sio kila jambo linapewa haki hata kama ni baya mbele ya jamii
 
Kumbe ni kweli!Basi ule mwisho umekaribia sana!Kuna mtu alinialika nijiunge katika kutoa support kwenye kundi hili,nikamuambia i am not that neutral akanikasirikia kabisa!I thought hayuko serious aisee.Ila ukweli hili jambo lipo sana na ni watu ambao wame-take cover kwa muonekano wa nje kuwa wa kawaida tu.A few pple have come clean with me and I almost fainted!Sijui twaenda wapi
 
Hiyo sodoma na gomora ndo inakuja. Ndo maana hata uchaguzi unachakachuliwa, ajali kibao, mvua hazinyeshi!
 
3596.jpg
 
Mleta maada ni mmoja wao nini tehe tehe tehe ,maana USA ni noma ...........Kidding ..no kidding ..ahaa JOKE

Kwenye maada mimi sioni kama ni jambo jema kuweka chama itawavutia na watu wengine kujaribu just ban them.
 
haitawezekana ukumbuke hawa jamaa wanalindwa na kutetewa sana na nchi zilizoendelea ambazo ndio tunazitegemea sisi
 
huyu mtoa hoja anaonekana ama ni mmojawao au ni shabiki wao nasema nendeni uarabuni mkaunde hicho chama si mnajifanya mko dunia nzima?.Acheni kutaka kujaribu kuharibu utamaduni wa kitanzania kama mmenogewa na ushoga hamieni huko ulaya.Vinginevyo hasira ya wananchi itakuwa juu yenu.
 
:tape::tape:
 
Tayari kuna mchakato umeanza wa kuanzisha taasisi rasmi ya gay, lesbian, transgender Tanzanians ili kutetea maslahi yao na kutoka katika maficho yao. Mchakato umefikia mbali na wakati wowote watajitokeza ili kujiweka wazi kuwa nao wapo na taasisi yao itambuliwe rasmi. Swali - Je Tanzania nchi yenye kudai kila mtu anastahili haki "ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake".. iko tayari? Tunajua wapo na wengine ni marafiki na jamaa zetu - je tufute sheria ambazo zimepitwa na wakati kama nchi nyingi duniani zimefanya au tuendelee kudai kuwa si "uafrika na ni dhambi" wakati tunajua kuwa wapo? Mjadala is officially OPEN.

Vipi, uko karibu na hao jamaa wa mwelekeo tofauti? Maana yaelekea unajua yanayojiri kwenye jamii yao.....
 
Mungu ibariki tanzania .............tusamehe bure.....
Tanzani is never ever gona b ready for that...
But who are we to judge .....????
 
]huyu mtoa hoja anaonekana ama ni mmojawao au ni shabiki wao nasema nendeni uarabuni mkaunde hicho chama[/B] si mnajifanya mko dunia nzima?.Acheni kutaka kujaribu kuharibu utamaduni wa kitanzania kama mmenogewa na ushoga hamieni huko ulaya.Vinginevyo hasira ya wananchi itakuwa juu yenu.

:tape::tape::tape::tape:

Mara hii mmekwishaanza
 
Tayari kuna mchakato umeanza wa kuanzisha taasisi rasmi ya gay, lesbian, transgender Tanzanians ili kutetea maslahi yao na kutoka katika maficho yao. Mchakato umefikia mbali na wakati wowote watajitokeza ili kujiweka wazi kuwa nao wapo na taasisi yao itambuliwe rasmi. Swali - Je Tanzania nchi yenye kudai kila mtu anastahili haki "ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake".. iko tayari? Tunajua wapo na wengine ni marafiki na jamaa zetu - je tufute sheria ambazo zimepitwa na wakati kama nchi nyingi duniani zimefanya au tuendelee kudai kuwa si "uafrika na ni dhambi" wakati tunajua kuwa wapo? Mjadala is officially OPEN.

RED: May God Forbid This
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom