Ujio wa JK Arusha12/11/2011, wenyeji waapa hawatakanyaga pale Stadium! Kisa!

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,348
3,219
Wakati natoka kibaruani jioni hii,mara ikapita gari la matangazo inayotokea upande wa magharibi yaani toka Sakina inakuja kuelekea Mianzini ikitangaza ujio wa JK jumamosi kama tajwa hapo juu. Kulikuwepo na jam kubwa na mara nikasikia watu pembezoni mwa barabara na hata abiria walikuwa kwenye jam barabarani wakimzomea mtoa matangazo kwenye lile gari,NAWANUKUU "utakaanaye pamoja na mafisadi wenziwe na kamwe hatatuona,kwani umesikia watoto wetu wanaugua surua? Kawape watoto wa mafisadi wenzako ama peleka kwa gamba mwenziwe pale Monduli,hautatuona,Unafikiri nachotufanyia ni nzuri leo mnatutega siyo hatutegeki tena kihivyo" Mwisho wa kunukuu! Nimejiuliza maswali kivyangu lakini majibu haijanitosha na ndiyo nikasema tushirikiane ktk hili la wenyeji kumkataa rais.
 
Wakati natoka kibaruani jioni hii,mara ikapita gari la matangazo inayotokea upande wa magharibi yaani toka Sakina inakuja kuelekea Mianzini. Kulikuwepo na jam kubwa na mara nikasikia watu pembezoni mwa barabara na hata abiria walikuwa kwenye jam barabarani wakimzomea mtoa matangazo kwenye lile gari,NAWANUKUU "utakaanaye pamoja na mafisadi wenziwe na kamwe hatatuona,kwani umesikia watoto wetu wanaugua surua? Kawape watoto wa mafisadi wenzako ama peleka kwa gamba mwenziwe pale Monduli,hautatuona,Unafikiri nachotufanyia ni nzuri leo mnatutega siyo hatutegeki tena kihivyo" Mwisho wa kunukuu! Nimejiuliza maswali kivyangu lakini majibu haijanitosha na ndiyo nikasema tushirikiane ktk hili la wenyeji kumkataa rais.


Sio arusha pekee wamemkataa Rombo wamepandisha bendera Kenya kabisa
 
Ngoja uone fuso za kutosha zikitoka ngarenanyuki na monduli na vijiji vingine vikileta watu. Utachoshangaa utaona wageni wengi mjini wamekolea green na njano.
Sisi watoto wa town hatutimbi pale ng'o. Nikishampa mwanangu chanjo, chakula napata wapi?
Aje amtoe Lema,
aje Amkimbize OCD,
amtoe Meya.
 
watu lazma watajaa tu yaani watu watakodiwa kila kona wataletwa kwa mabasi na mafuso na kulipwa hela utanambia

Kaka wala huwa hawatoki mbali sana,kuna wa hapo ngarenaro km kawaida,na wengine watatoka Monduli,na km kutakuwa na mchere,ndo watajitokeza,kuja kusikiliza upupu wa rais wao!
 
Kaka wala huwa hawatoki mbali sana,kuna wa hapo ngarenaro km kawaida,na wengine watatoka Monduli,na km kutakuwa na mchere,ndo watajitokeza,kuja kusikiliza upupu wa rais wao!

Aisee! Lakini Mi nina wasiwasi sana na Monduli kwa yule GAMBA SUGU na hakika anaweza malori hata kumi na green fashion.
 
hivi hamna alshabab hapo mwape tenda? natamani wangefanya mambo hapo

Mkuu! Acha hiyo kwn hapa sina mbavu! Ha ha ha ha ha ha ha ha ha!! Mama yangu wanaweza wakawepo! Watafurahi wenyewe!
 
Nasikitika kuambiwa lile gari la tangazo kuhusu ujio wa Jk limezunguka karibia mji mzima mpk usiku mrefu na hata pembezoni kote kuhamasisha hili. Jamani jamani!!
 
miye wakinilipa niende huko nitaendaa tuu nani ananamba yao niwambie miye weekiendi nipo free nikaone atown nimepamisi hiyo itakuwa ni maendeleo zaidi kwangu kuliko kuandamana bure
 
Watajibeba na CCM yao,uwanja utajaa magmba yaliyokodiwa na kubebwa kwenye fuso utadhani ni ng'ombe huku yakivishwa fulana za kijani.
 
Wala hamkosei, wana wa CCM tutakuwepo tena kwa wingi nyie bwabwajeni tu but we will be their kama nyie mnavyo kusanyika nje ya mahakama.
 
anakuja kufanya nini huyo kilaza hapo arusha
nadhani anabadilisha hali ya hewa yeye si dokta anaweza kujipa prescription ya kubadilisha hali ya hewa kila wiki ndo maana anasafiri safiri kila wiki
 
Back
Top Bottom