MhKwanini niwaachie, kwani ndio wameniwekea bundle?
UnachekeshaAngekuwa Mwarabu kihivyo angekuwa anawatetea na anawaruhusu Wapalestina kuingia Misri kutibiwa, asingeshirikiana na Israel.
Still wako juu Afrika kiuchumi, so positively kuna cha kujifunza kizuri Tu kama tukiamua.Misri ilipiga hatua kubwa sana wakati wa utawala wa kidemokrasia lakini tangu 2015 misri imekuwa kwenye hali mbaya sananya kimaendeleo na kiuchumi
Wewe mlokole pimbi, unaumia kwa vile ni mwarabu
Huna chochote ulichoandika ni upuuzi mtupu
Misri sio nchi ya kusema kuna la kujifunzaStill wako juu Afrika kiuchumi, so positively kuna cha kujifunza kizuri Tu kama tukiamua.
Nchi yoyote iliyokupita kiuchumi una cha kujifunza, hata Kenya Tu hapo tuna cha kujifunza kutoka kwao...Misri sio nchi ya kusema kuna la kujifunza
Kujifunza kwa mwananafunzi aliye anza kufeli ni kujifunza kufeliNchi yoyote iliyokupita kiuchumi una cha kujifunza, hata Kenya Tu hapo tuna cha kujifunza kutoka kwao...
Ungelidokezea kuwa Misri ni nchi ya tatu kwa uchumi Mkubwa Afrika baada ya Afrika Kusini na Nigeria, ingelipendeza sana.Jenerali El- Sisi mtawala wa Misri aliingia Madarakani mwaka 2013 baada ya kumpindua Mohamed Morsi, rais wa kwanza Misri kuchaguliwa kidemokrasia, mwaka uliofuta aliua maelfu ya Waandamanaji waliotaka aondoke madarakani na kuirudisha nchi kwenye utawala wa demokrasia.
Ni mtawala katili aliyeuzimisha upinzani wa Misri kwa ufanisi na ukatili mkubwa ikiwemo kupoteza watu na kuigeuza misiri kuwa taifa la kipolisi kabisa lenye utawala mbaya katili na wa vitisho kuliko hata wa Hosni Mubarak.
Chini ya utawala wake Misri imegeuka kuwa ombaomba kwa Waarabu wa Gulf kufadhili uchumi na miradi ya Kifahari isiyowahusu wananchi wa chini wa kawaida. Mradi mmojawapo wa hovyo sana ni wa kujenga makao makuu ya ulinzi makubwa zaidi duniani yanayoitwa Octagon yenye eneo la ekari 22,000 ili kuweza kupambana na upinzani kwa ufanisi zaidi na kudumisha utawala wa kijeshi.
Misri chini ya utawala wake ni nchi yenye deni kubwa ukitumia hadi zaidi ya theluthi mbili ya mapato yake kwa mwaka kulipa madeni.
Huyu sio mgeni mwema, Misri haina kikubwa cha maana cha sisi kujifunza kwa sasa.
Tusikariri tu mambo,Ungelidokezea kuwa Misri ni nchi ya tatu kwa uchumi Mkubwa Afrika baada ya Afrika Kusini na Nigeria, ingelipendeza sana.
Sasa biashara gani, tutafanya, na Misri? May be vijana wakasome Sharia waje wafungue misikiti kibao Dodoma, Arusha, ili kusilimisha watu!Jenerali El- Sisi mtawala wa Misri aliingia Madarakani mwaka 2013 baada ya kumpindua Mohamed Morsi, rais wa kwanza Misri kuchaguliwa kidemokrasia, mwaka uliofuta aliua maelfu ya Waandamanaji waliotaka aondoke madarakani na kuirudisha nchi kwenye utawala wa demokrasia.
Ni mtawala katili aliyeuzimisha upinzani wa Misri kwa ufanisi na ukatili mkubwa ikiwemo kupoteza watu na kuigeuza misiri kuwa taifa la kipolisi kabisa lenye utawala mbaya katili na wa vitisho kuliko hata wa Hosni Mubarak.
Chini ya utawala wake Misri imegeuka kuwa ombaomba kwa Waarabu wa Gulf kufadhili uchumi na miradi ya Kifahari isiyowahusu wananchi wa chini wa kawaida. Mradi mmojawapo wa hovyo sana ni wa kujenga makao makuu ya ulinzi makubwa zaidi duniani yanayoitwa Octagon yenye eneo la ekari 22,000 ili kuweza kupambana na upinzani kwa ufanisi zaidi na kudumisha utawala wa kijeshi.
Misri chini ya utawala wake ni nchi yenye deni kubwa ukitumia hadi zaidi ya theluthi mbili ya mapato yake kwa mwaka kulipa madeni.
Huyu sio mgeni mwema, Misri haina kikubwa cha maana cha sisi kujifunza kwa sasa.
We kum@ LA mamako choko , jifunze kuosha Hi yo kum@ yako chafu .Mbwa weeeMakafiri bwana, utazan wanajadili mambo ya maana kumbe shida uarabu wake na dini
Ahahahahaha! Thibitisha kama Wamisri wana maisha mabaya kumlinganisha na nchi zengine za Afrika.Tusikariri tu mambo,
GDP kubwa tu bila kutazama GDP per Capita haina maana yoyote. Misri ina GDP kubwa kuliko Oman, Qatar na Kuwait ila raia wa hizi nchi wana maisha mazuri mara elfu moja kuliko raia wa Misri na nchi zao zinaikopesha na kuipa Misri misaada
Unaweza matus usikimbilie tu kwa moderators hapo baadaeWe kum@ LA mamako choko , jifunze kuosha Hi yo kum@ yako chafu .Mbwa weee
Mfumoko wa bei ni 15% Kuna mwaka huwa unafika hadi 30%.Ahahahahaha! Thibitisha kama Wamisri wana maisha mabaya kumlinganisha na nchi zengine za Afrika.
Hakuna kujifunza bila kufeli.Kujifunza kwa mwananafunzi aliye anza kufeli ni kujifunza kufeli