Ujio wa filam ya maisha ya kikwete iitwayo "mr.president" ni disemba 9. Kaa mkao wa kula | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujio wa filam ya maisha ya kikwete iitwayo "mr.president" ni disemba 9. Kaa mkao wa kula

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ibontoko, Nov 19, 2011.

 1. i

  ibontoko Member

  #1
  Nov 19, 2011
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  MWIGIZAJI na mchekeshaji maarufu Bongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere' ameandaa filamu inayoitwa Mr. President ambayo ndani yake inachambua maisha ya kifamilia na kikazi ya Rais Jakaya Kikwete kwa kuwa miaka 50 ya uhuru imemkuta akiwa madarakani.

  "Hii ni zawadi kwa Rais Kikwete pamoja na Watanzania kwamba, hata rais ni binadamu, anaishi kama wengine, tofauti ni madaraka tu. Ndani ya hii filamu kuna vituko vya hapa na pale vilivyotumika kuonesha maisha halisi ya Mheshimiwa JK, yaani burudani mwanzo mwisho," alisema msanii huyo.

  CHANZO <<HAPA>>
   
 2. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #2
  Nov 19, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,628
  Trophy Points: 280
  wale wachekeshaji bana.hakuna kitu kama hicho.mi nmeshaona kipande cha hiyo movie. Stive kajaribu kuongea kama kikwete na kuchekacheka.haitusaidii chochote kukabiliana na matatizo yanayo tukabili tofauti na kuendelea kudumaza akili na mawazo ya kitanzania.bora wangeonyesha maovu yake na mapungufu.lakini yeye kang'ang'ana na walinzi wake na mkewe tu.lakini kwa wapenda comedy ipo poa.mia
   
 3. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #3
  Nov 19, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Kweli JK gangwe! Katengenezewa hadi filamu inaonyesha maisha yake na njia anazotumia kutumaliza! Kweli huyu jamaa gangwe
   
 4. Mtumpole

  Mtumpole JF-Expert Member

  #4
  Nov 19, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,445
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Huyo Steven Ngerere ndiye miongoni mwa wale watu waliokua kwenye misafara ya JK nchi nzima wakati wa kampeni za Urais mwaka 2010.
   
Loading...