Ujio wa dudumiz

NYAGI DRY

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
368
155
Ujio wangu ni sawa na ujio wa dudumiz,nafanya ninachosema,nasema ninachofanya,kama haipandi ingia mitin tumesota sana muda we2 kuhema sema baba safari njema!,nimekuja kufanya mapinduz hapa jf! Hod wakuu!
 
Dah!. Unataka ufanyike mapinduzi gani hapa jf? Unataka uwapindue ma Mods?
Welcome.
 
Mhh, huyu jamaa ni user amekuja na ID nyingine nini? Mbona una mbwembwe mno? Haya ndugu, karibu..yetu macho tuone mapinduzi yako.
 
Mhh, huyu jamaa ni user amekuja na ID nyingine nini? Mbona una mbwembwe mno? Haya ndugu, karibu..yetu macho tuone mapinduzi yako.
<br />
<br />
nlikua na view post as a guest but nw nimeji register 4 shizzle,lakn hapa ukweli na michanyato ya ukweli
 
karibu sana,lakini naona umekuja na mbwembwe kwa sana,au unakaa rozana,paw na ban zake anakungoja kwa sana,hapa sikai sana.mia
 
Back
Top Bottom