Dah!. Unataka ufanyike mapinduzi gani hapa jf? Unataka uwapindue ma Mods?

Welcome.

Naona una rap mkuu,karibu sana utupe mistari!

Mhh, huyu jamaa ni user amekuja na ID nyingine nini? Mbona una mbwembwe mno? Haya ndugu, karibu..yetu macho tuone mapinduzi yako.
karibu sana. Tunataka mapinduzi zako.

nlikua na view post as a guest but nw nimeji register 4 shizzle,lakn hapa ukweli na michanyato ya ukweli

hapana bwana mods c wez kumpindua but mapinduz ya mawazo na hoja broo