Ujio wa Chama Kipya -Patriotic Front Alliance-(PFA) na 'Kujitenga' Kwake.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujio wa Chama Kipya -Patriotic Front Alliance-(PFA) na 'Kujitenga' Kwake..

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Steve Dii, Dec 22, 2007.

 1. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #1
  Dec 22, 2007
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Naona wanasiasa wetu nchini wanazidi kujitayarisha na 2010...

  Source link: Mwananchi.


  SteveD.
   
 2. M

  Mkandara Verified User

  #2
  Dec 22, 2007
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  haya sio matarisho ila ni kubomoa nguzo za ujenzi wa muungano mkubwa uliokuwa ukitegemewa. Nina hakika k za Zitto na Dr. Slaa zimetumika kama ni mbolea ya uchochezi wa utengano huo.
  kwa hiyo kuundwa kwa chama hiki kipya kunatanguliwa na KUJITENGA kwa vyama hivi ktk muungano wao wa mawasiliano. Pengine yawezekana kucheleweshwa kwa muungano halisi na kuwepo kwa kitu kimoja wakati muda wa kujitangaza unazidi kuyoyoma hawa jamaa wameona kuwa hawawezi kushiriki ktk upuuzi wa siasa za kuvikana vilemba..
  Jamani hivi lini hawa jamaa wa CUF, Chadema TLP na NCCR- Mageuzi tupate kuwafahamu viongozi mapema.
   
 3. K

  KakindoMaster JF-Expert Member

  #3
  Dec 23, 2007
  Joined: Dec 5, 2006
  Messages: 1,349
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Hata mashuleni kwa wale waliosoma kwa kutumia makundi baada ya Lecture huwa yapo.

  Mkiwa mnafanya discussion wakati mchango wako ni mdogo huwa linatokea kundi jingine lenye uwezo unaoshabiliana ndani ya kundi lenye uelewa unaolingana hili kuokoa jahazi kwa masilahi ya wahusika.
   
Loading...