UJIO WA BUSH:tutie maji nywele zetu

technique

Member
Feb 14, 2008
11
0
by Harumi Ozawa
Thu Feb 14, 1:20 AM ET(FROM YAHOO NEWS)NAHA, Japan (AFP) - Japan's southern island of Okinawa on Thursday demanded the US military rein in the thousands of troops stationed there after a US Marine was arrested for allegedly raping a girl.

The prefectural assembly of Okinawa unanimously adopted a resolution asking the US military to take action to improve ethical training for its forces.

The move came on the heels of similar resolutions passed by local assemblies of Chatan and Okinawa city, two municipalities where the alleged rape of a 14-year-old girl occurred late Sunday.

"Okinawa prefecture has repeatedly demanded stricter discipline for US servicemen and action to prevent criminal offences, but still an incident like this happened. We feel fierce anger," said assembly member Seiichi Oyakawa, reading out the resolution.

"We demand the US government take effective and specific preventive actions that are clear to the eyes of the people of Okinawa, such as carrying out thorough human rights training for US soldiers," he said.

The resolution also renewed the local government's call for a reduction in the more than 20,000 US troops stationed in Okinawa.

Staff Sergeant Tyrone Luther Hadnott, 38, was arrested on Monday over allegations that he raped the girl in his car on the island. He has admitted trying to forcibly kiss her and groping her but denied raping her.

The incident rekindled memories of the gang-rape in 1995 of a 12-year-old girl by three US Marines, which set off major protests on the island and set in motion a process to reduce the number of US troops there.

More than 40,000 US troops are stationed in Japan to defend its key Asian ally, which has been officially pacifist since World War II.

US Ambassador Thomas Schieffer, who on Wednesday flew to meet to Okinawa governor Hirokazu Nakaima to express regret over the incident, promised to review ethical training for the troops.

But opposition assembly members demanded that Nakaima, a government ally, demand tougher action, noting that the US government has promised tighter discipline before.

The Okinawa police have reported to an assembly committee that 14 rapes allegedly by US soldiers have occurred in the tiny province since 1995.

"He has not shown enough anger," opposition assembly member Chosei Taira told AFP.

"We have adopted resolutions of protest over and over again, but they hardly have made any changes," Taira said. "We demand the entire withdrawal of the US military. Unless all Marines go, we wouldn't be rid incidents like this no matter how many times we protest."

Nakaima was elected in 2006 promising to improve the island's troubled economy and signalling a more conciliatory policy towards the US military and its global realignment plan.

The Japanese and US governments have agreed to transfer some 8,000 troops out of Okinawa to the US territory of Guam while relocating a controversial air station from more densely populated Ginowan city to another Okinawa city.

The incident came as Tokyo tries to persuade the town of Nago to host the facilities from Ginowan in an arrangement criticised by activists pushing for the air station to be removed completely from Okinawa.

hili pamoja na kuwatesa,kuwadhalilisha na kuwaua mamia ya watu pale abughraib-IRAQ,kuangamiza maisha YA wasiokuwa na hatia kwa carpet bombs,B-52 sehemu kadhaa duniani,kufanya dampo la silaha zao kwa majirani zetu hapo TZ plus otherplaces kwa kuwauzia hizo silaha na kuchochea vita ili kupora vile ambavyo pia WANAKODOLEA MAJICHO in our very virgin land TZ,ni katika machache yanayojulikana katika vyombo vya habari,leave alone uharamia unaofanywa huko baharini kwenye hizo nyambizi zao
-sehemu nyingi alizokwenda huyu FISADI WA ROHO ZA WATU,GWB amekuwa akipokelewa kwa maandamano kuonesha dunia kuwa wamechoshwa na hawa wanaojifanya VIRANJA wa dunia,na kwa kweli kutokana na uharamia wao wametengenEza uadui mkubwa sana duniani ingawa kutokana na kumiliki source za uchumi wa dunia kwa kutumi
a vyombo vyao vya kudhulumu wanyonge ,WORLDBANK NA IMF PLUS HIZO BRABCHES ZA UN, pamoja na massmedia basi tumekuwa tukiwasikia na kuwaona wao tuuu,hawa wengine hawana sehemu,wakijitahidi kumiliki vinalipuliwa.
-binafsi siungi mkono maandamano dhidi ya ujio wake huko TZ ama sehemu nyingine duniani ila tu tukae chonjo.maana hayo ma TORNADO na mastorms kadhaa yalioikumba ile nchi ni wazi kuwa yanatokana na globalwarming's feedback,so kuna mpango wa kumtangulia mchina kuhamishia maviwanda kwenye hizo the very beloved virgin lands of ours,walifanya hivyo uchinani na nadhani wamekipata cha moto thru winterstorms
-mbaya zaidi hawa viranja wakihamia sehemu wanaingilia policies za nchi na affairs nyeti,uranja wao huingia hadi huko,sasa halahala vi stick na majicho....

ukizingatia kuwa miongoni mwa mipango ni kuweka military base hapo TZ[/FONT]""best wishes""
 

Ukweliii

Member
Feb 10, 2008
58
0
Suala la kijiuliza ni nini cha zaidi Bush anataka Tanzania?? Anatakiwa kutembelea nchi tano za Africa, Tanzania inaingiaje kwenye orodha??

Serikali yetu inavyopenda misaada watakubali tu kufungua "Military Base" ya wanachoita African Command.
Ukiangalia historia ya vita vyote vikuu vya dunia Dar ilikuwa key na Zanzibar imetamaniwa sana wakati wa Cold War

Matokeo yake tutayaona
 

zomba

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
17,008
3,666
Huyu kichaka anatulete balaa tanzania, na history inajieleza, Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika.
 

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
5,438
6,478
Ujio wa Bush ni mzuri si kwasababu ya Serikali pekee lakini itatusaidia kwa wafanyabiashara na kampuni za marekani zije kuwekeza nyumbani. Vilevile pesa nyingi za ukimwi zinatoka marekani na sana dawa zinatolewa kwa bure wakati miaka mitano iliyopita ilikuwa dollar $400 kwa mtu kwa mwezi. Military base ni nzuri na itasaidia sana kwa wafanyabishara wadogo nchini. Hivyo tuweke siasa na tuangalie mafanikio ya nchi na kwa kweli hata kama hatuipendi marekani hatuwezi kuipuuza kwa wakati huu. Nchi yetu inahitaji misaada sana.
 

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
5,438
6,478
TV zinadanganya sana je Clinton alifanyanini Africa?? George Bush amesaidia zaidi kuliko Clinton kwasababu hafanyi kwa siasa tu Clinton ni mtu wa kuongea na kucheka lakini vitendo ni kwa marafiki zake tu. Hata hapa watu wanaanza kugundua Clintons ni matapeli na wabinafsi wakubwa sana.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom