mtz one
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 4,272
- 1,210
Pambana na hali yako... Lipumba na Zitto wanawauma sana vipi fisadi lenu mlilolipokea haliwaumi?Pia akili km za ccm kutumia rasilimali za nchi kuua fikra na mijadala. Kuua upinzani na vitu vingine vya kuongeza ushindani na bidii, nimsumu kubwa kuliko. Mwisho kujidanganya na kujikisha ujinga kwa kupika taarifa km za TBC na kuwa na rundo la akina lipumba na zitto. Wanatumia na huku wakiongeza mzigo kwa taiafa kwa kuongeza kazi za bure na uharibifu.
Sent using Jamii Forums mobile app