Ujio wa Beckham na Bono Tanzania TTB fanyeni kweli.

Kevo

JF-Expert Member
Jun 12, 2008
1,333
52
Kwa muda mrefu sasa Tanzania Tourist Board (TTB)wamekuwa kichwa cha mwendawazimu.Ila kwa hili jamani fanyeni kweli maana wamemuignore Kelly Rowland ila fanyeni hima watu huko majuu wazidi kuifahamu Tz.
Tusijulikane kwa ufisadi pekee hata kwa tourist attractions.
 
Back
Top Bottom