Kevo
JF-Expert Member
- Jun 12, 2008
- 1,333
- 54
Kwa muda mrefu sasa Tanzania Tourist Board (TTB)wamekuwa kichwa cha mwendawazimu.Ila kwa hili jamani fanyeni kweli maana wamemuignore Kelly Rowland ila fanyeni hima watu huko majuu wazidi kuifahamu Tz.
Tusijulikane kwa ufisadi pekee hata kwa tourist attractions.
Tusijulikane kwa ufisadi pekee hata kwa tourist attractions.