Ujio mpya wa wa baghdad ft roma & Snura juu ya K.

Dundo_Boy

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
2,466
2,000
Hii inamalizia mwaka, nasikia watu siku hizi wanapenda nyimbo ambazo hazina Ujumbe....nyimbo za kijinga ndio zinashika soko...sasa kwaheri mwaka...K inafunga kabisa. Alafu nina hamu ya kumuona dada Snura akiwaachia vijana wamshike msambwanda!.....ujana maji yamoto kweli
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom