The Priest
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 1,029
- 256
1.Kubadilisha relationshp status kila siku,asbh upo "single" mchn "in a relationshp",jioni its complicated,ucku "married" bdae divorced,
2.Kuweka status kwa kila unachofanya hata vya kipuuzi.
3.kuadd kila mtu eti kisa ame like post yako mahali.
4.kutongoza kila demu anaeku2mia frnd request
5.kila mtu kuweka homeplace dsm kana kwamba sehemu zngne hazibambi.
6...
Weka ujinga mwingne watu hufanya fb.