Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,647
Napenda kutumia jukwaa hili kumshauri msanii diamond, na hii tabia yake ya kudhani kuwa yeye nyumbani kwake kwenye upande wa media ni kituo cha clouds tu, siwezi jua moyoni mwake anasukumwa na nini ila kiukweli Hali hii kwa msanii kama yeye ambaye kwa Sasa anajulikana angalau nchi za ukanda wetu wa Africa mashariki ni Ujinga uliopitiliza
Yaani kila kitu chochote kinachomusu yeye source yake ya Habari lazima ianzie kule clouds, maana yake hii anawanyima wengine Mamlaka ya kuripot habar zake
Nakumbuka miaka kadhaa nyuma wakat ule ana nywele kama chelewa ilikuwa kila akiachia video ilikuwa lazima apite pale Friday night live F.N.L akauview kwa mashabiki wake
Ilikuwa kila akiachia audio lazima atafanya media tour kwa radio zisizo pungua tano, ila Leo hii yeye akishaenda mawinguni kashamaliza hii ni dharau kubwa kwa vyombo vya Habari
kwani wasanii na media wanategemeana sana,
Leo hii kina Jay-Z, Rick Ross, 50 cent, Beyonce, Rihanna, Chris Brown, dmx, na mastaa wengi wa marekani hufanya media tour bila kuichagua japo ngoma zao huziuza zaidi kwenye iTunes
Hata hapa Tanzania kuna legendary kama kina ambwene yesaya, A.Y, joh Makin, profesa jay, sugu, alikiba, jaydee na wengine huwa hawaleti pozi wala kuchagua sehemu za interview
Namshauri bw. Almasi hajafika hapo alipo pekee yake media zimempush aache ulimbukeni wa tandale
Wasalaamu