UJINGA NI NINI?

Ujinga ni pale mwanaume unavyotamba mitaani kuwa wanawake ni wengine ataoa anaemtaka kumbe hana hata mia.. Nya.u wew😂
 
Ujinga ni kukariri kuwa kila Mwanamke aliye na bikra/virginity ni Mke mwema/wife material kumbe ni "kahaba, mchawi, mbinafsi, mvivu, mchafu, msagaji, hana upeo +, ana kiburi/kisirani, si mvumilivu, mmbeya, mlevi wa pombe+bangi+mirungi+madawa ya kulevya, asiyeridhika.............................. "

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujinga ni kutokujua kuwa UOGA ni sumaku..Ujinga ni pale Mbwa anakukimbiza na ukakimbia unakua umempa mbwa kitoweo cha mwili wako sababu woga ni sumaku umemvuta mbwa..Ujinga zaidi ni pale unataka kumuua mbwa eti kisa kakudhuru badala ya kuua kwanza UOGA wako....
 
Ujinga ni kuishi na mwanamke ambaye anajua kabisa anagongwa na jamaa fulani unayemjua
 
Back
Top Bottom