Ujerumani yathibitisha mgonjwa wa kwanza wa Corona. Dawa za UKIMWI kuanza kutumika kwa wagonjwa wa Corona

Nataman huyu corona angekuwa anawapata wenye ngozi nyeupe tu,sisi wenye ngozi nguvu tuliyo nayo yanatutosha

Ngozi nyeusi ni resistent, pia hatuna kipimo kutambua uwepo wa corona.... hivyo ukiingia huko mtakuwa mnajifia tu tunasema ugonjwa usiojulikana.
 
Mgonjwa wa kwanza wa maradhi yanayosababishwa na virusi vya Corona amethibitishwa nchini Ujerumani. Msemaji wa wizara ya afya mjini Munich, amesema jana jioni kwamba mgonjwa huyo ni mwanaume anayetokea eneo la Stanberg, katika jimbo la Bavaria, kiasi kilomita 30 kusini magharibi mwa Munich.

Jamaa wa karibu na mgonjwa huyo wameelezewa kuhusu dalili za maradhi hayo, hatua za usafi na namna virusi hivyo vinavyosambaa.

Kirusi hicho kipya aina ya Corona kimetokea katika mji wa Wuhan nchini China hadi sasa kimesababisha vifo vya takriban watu 106. Tume ya afya katika jimbo la Hubei ambako ni kitovu vya maradhi hayo imesema watu wengine 24 wamekufa na 1,291 wameambukizwa, idadi inayofanya jumla ya watu walioambukizwa hadi sasa kufikia 4,000 kote nchini humo.

Visa vingine vya Corona vimeripotiwa Korea Kusini, Taiwan, Thailand, Nepal, Vietnam, Saudi Arabia, Singapore, Marekani, Ufaransa na Australia.

Chanzo: DW


==========

Mkurugenzi wa Idara ya Afya wa jiji la Beijing, China amesema wanatumia dawa za wagonjwa wa VVU na UKIMWI za Lopinavir na Ritonavir kusaidia wagonjwa wa homa iliyozuka ya #Coronavirus

Mpaka sasa hakuna tiba ya ugonjwa huo huku Marekani ikisema iko maabara kutengeneza chanjo yake

Hadi sasa watu 106 wamepoteza maisha kutokana na virusi vya Corona huku zaidi ya watu 4000 wameambukizwa

Simple mathematics...ukichukua 106 ukagawanya kwa 4000 halafu ukazidisha kwa 100 unapata 2.65....tufanye iwe 3.....yaani kati ya watu 100 wanaopata corona virus(ugonjwa feki wa kipropaganda) wanakufa watu 3 tu.

Sasa zitendeeni haki akili zetu mfikirie japo kidogo tu...

1.Tunaambiwa corona haina kinga wala tiba,
2.Tunaambiwa unaambukiza kwa kasi sana na ni hatari,
3.Tunaoneshwa kwenye TV(ofcourse sisi tunaojua tunajua kwamba zile ni propaganda tu ili kutimiza malengo yao) jinsi watu wanavyohaha kukabiliana na corona na tunapewa angalizo jinsi ya kujilinda,
4.Mataifa karibu yote duniani yako kwenye alert kuhusu corona,
5.Corona ndio imepewa uzito mkubwa kwenye habari kipindi hiki,

BUT,
Pamoja na yote hayo,pamoja na corona kutokua na dawa wala chanjo,lakini kati ya watu 100 wanaoambukizwa,wanakufa 3 tu...lakini bado tunauendekeza huu upumbavu....

Mbona mmesahau kabisa magonjwa ambayo yapo siku zote na yanaua watui wengi sana kila siku?Corona(hata kama ipo kweli(ofcourse haipo)) ina nini cha ajabu?....je,hamwezi kuona jambo lililo wazi kabisa nyuma ya pazia la corona?...au mnataka tuwaambie kila kitu?

Hiyo ndio nguvu ya media....kina Antonio Faucci wanaitumia vizuri sana nguvu ya media ili kupenyeza agenda zao feki ili kutimiza malengo yao mapana ya baadaye....

Mimi nasema hakuna corona,kama kuna mpuuzi yeyote nimemkera aende kufungua kesi mahakamani tukutane huko.

Siwezi kuvumilia kuona watu wakidanganywa na upumbavu kama huu.

SWALI:
Hao watu 97 kati ya 100 wanaoambukizwa corona wanaponaje wakati hakuna tiba wala chanjo na huku tunaambiwa kwamba corona ni ugonjwa hatari sana?

Zitendeeni akili zenu haki.
 
Italy shule zote zimefungwa kukabiliana na maambukizi. Shirika la Ujeremani imepumzisha ndege 150 kati ya jumla ya ndege 770 inazomiliki.
German airline Lufthansa says it is grounding 150 of its 770 aircraft amid "extraordinary circumstances"
Corona balaa.
 
Back
Top Bottom