Ujerumani yamualika Tibaijuka pekee kwenye sherehe ya kitaifa

Ccm bhana, hamwe kukaa kimya hata kidogo.
Yani huyu naye ni msafi ktk wasafi wa CCM
 
Unaishi chini ya jiwe wewe!? Iweje yeye aliyepokea pesa ya wizi 1.6 billion asifunguliwe kesi? Unajua kupokea mali ya wizi kunatakiwa kumpeleka lupango mpokeaji? Na acha UZWAZWA wako mie sina chuki na yeyote yule bali naandika facts tupu.

Huyu mama amekukosea nini, mbona unaleta chuki za kisiasa sehemu ambayo haistahili?
 
Sina mpango wa kutetea jizi au fisadi yeyote yule awe CCM au CHADEMA. Akamatwe mara moja na kuacha sheria za nchi zichukue mkondo wake.

Akihamia CHAGADEMA mtaanza kumtetea na kuulizia ushahidi.
 
Hongera kwake prof. Tiba ni mojawapo ya akili kubwa zilizobaki ccm sema guchama gule hata usipotaka kuiba utaiba au kupokea rushwa tuu chama laana kile.
 
Safi sana, inawezekana nao wametamani alivyopanua fikra za watu wake,
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom