Ujerumani yakubali kurudisha kazi za sanaa zilizoibwa Nigeria

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,000
9,862
Serikali za Nigeria na Ujerumani zimekubaliana muda wa mwisho wa kurejesha vinyago vya kuchingwa vilivyoibiwa kutoka nchini Nigeria.

Waziri wa habari na utamaduni wa Nigeria ameyasema hayo katika mkutano wa waandishi wa habari mjini Lagos, uliolenga kuwafahamisha Wanigeria ni wapi zipofikia juhudi za kuhakikisha vinyago vya nchi hiyo vilivyoibiwa na kupelekwa katika maeneo mbali mbali duniani vinarudhishwa.

Amesema pia kwamba jukumu la serikali kisheria kuchukua vinyago vya Nigeria vilivyoporwa Ujerumani nanchi nyingine kwasababu ni jambo la kisheria.
Vinyago

Waziri huyo ameyasema hayo baada ya kuwepo kwa taarifa potofu baada ya baadhi ya ujumbe wa Nigeria kufanya ziara Ujerumani kujadili ni jinsi gani watakavyorudisha vinjyago vilivyotengenezwa kwa shaba ya Benin vipatavyo 1, 130 nchini Nigeria.

Bw Lai serikali ya Nigeria na serikai ya Ujerumani zimekubaliana juu ya muda wa kurudisha vinyago kwasababu Nigeria tayari imeweka muda wa kurudishwa kwake.

Amesemawalisaini makubaliano juu ya kurejeshwa kwa vinyago hivyomwezi Disemba 2021 na kuhakikisha shughuli hiyo inakamilika mwezi Agosti 2022 bila masharti.

NB: Tanzania pia ina malikale zilizo Ujerumani ikiwemo na mijusi mikubwa (Dinosours)

1626692840105.gif
 
View attachment 1859606

View attachment 1859605
Ng'o !!! Hakuna cha kurudi hata chembe!!... Hamjashiba misaada miaka 65 !!
 
Back
Top Bottom