Ujerumani yaiomba msamaha Namibia kwa mauaji ya kimbari

Ujerumani mapema Ijumaa imefikia makubaliano na Namibia kwamba inatambua rasmi mauaji yaliyotokea wakati wa ukoloni yalikuwa ya kimbari.

Kauli hiyo imetolewa wakati taifa hilo likitangaza kutumia dola bilioni 1.3 moja kwenye miradi ya maendeleo nchini humo.

Kwa mujibu wa shirika la habari la AP, makubaliano hayo yamefikiwa baada ya mashauriano yaliochukua zaidi ya miaka 5 kati ya Namibia na Ujerumani.

Mashauriano hayo yalijikita katika ukatili uliyofanyika kati ya mwaka wa 1904 - 1908 wakati taifa hilo likiwa chini ya ukoloni wa Ujerumani.

Wanahistoria wanasema Jenerali Lothar von Trotha alitumwa na Ujerumani kwenye taifa hilo lililojulakana kama German West Afrika ili kuzima uasi kutoka kwa watu wa kabila la Herero mwaka 1904.

Badala yake Trotha inasemekana kuamuru kutokomezwa kwa kabila hilo lote.

Inasemekana kuwa takriban watu 65,000 kutoka kabila la Herero waliuawa pamoja na wengine 10,000 kutoka kabila la Nama.

Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Heiko Maas amesema kuwa wameomba msamaha kwa Namibia pamoja na watu wake.

Chanzo:
VOA Habari (28, Mei 2021)
 
Ujerumani imekiri rasmi kufanya mauaji ya kimbari enzi za Ukoloni wa Namibia. Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Heiko Maas ameomba radhi kwa Taifa pamoja na walioathiriwa na matukio hayo.

Watawala wa Ujerumani waliua maelfu ya watu kutoka Jamii za Herero na Nama mwanzoni mwa Karne ya 20. Katika kutambua athari za mauaji hayo, itaiunga mkono Namibia kupitia programu ya maendeleo yenye thamani ya Dola za Marekani Bilioni 1.34.

=====

Germany has officially acknowledged that it committed genocide during its colonial-era occupation of Namibia and has agreed to pay financial support.

German colonisers killed tens of thousands of Herero and Nama people there in early 20th century massacres.

Foreign Minister Heiko Maas on Friday acknowledged the killings as genocide.

"In light of Germany's historical and moral responsibility, we will ask Namibia and the descendants of the victims for forgiveness," he said.

Mr Maas added that Germany would, in a "gesture to recognise the immense suffering inflicted on the victims", support the country's development through a programme worth more than 1.1 billion euros (£940m; $1.34bn).

The agreement will reportedly see funding paid over 30 years through spending on infrastructure, healthcare and training programmes benefiting the impacted communities.

But some traditional leaders have so far refused to endorse the deal, the state-owned New Era newspaper reported.

Friday's statement came after five years of negotiations with Namibia - which was under German occupation from 1884 to 1915.

Then known as German South West Africa, the atrocities committed there have been described by historians as "the forgotten genocide" of the early 20th Century.

The UN defines genocide as a number of acts, including killing, committed with the intent to destroy, in whole or in part, a national, ethnic, racial or religious group.

The killings began in 1904 after a Herero and Nama rebellion over German seizures of their land and cattle.

The head of the military administration there, Lothar von Trotha, issued an extermination order and the Herero and Nama were forced into the desert.

Any who were found trying to return to their land were either killed or put into concentration camps. There is no agreed figure of how many died but the death toll was in the tens of thousands - decimating the populations of the indigenous groups.

The atrocities have long-plagued relations between Germany and Namibia, with years of negotiation between their governments on how to reconcile the legacy of the genocide.

In 2018 Germany handed back some human remains which had been used as part of now-discredited research to prove the racial superiority of white Europeans.

Foreign Minister Maas said the negotiations had aimed to find "a common path to genuine reconciliation in memory of the victims" with members of the Herero and Nama communities closely involved in talks.

"We will now officially refer to these events as what they are from today's perspective: genocide," he said in Friday's statement.

Vekuii Rukoro, a Herero paramount chief who tried to sue Germany for compensation in US court, has said the deal is not enough to cover the "irreversible harm" suffered at the hands of colonial forces.

"We have a problem with that kind of an agreement, which we feel constitutes a complete sell-out on the part of the Namibian government," he told the Reuters news agency.

German media reports say a declaration is expected to be signed by the German Foreign Minister in the Namibian capital, Windhoek, next month before being ratified by each country's respective parliaments.

President Frank-Walter Steinmeier is then expected to travel to the country to officially apologise in person.

Source: BBC

Na Tanganyika iiombe msamaha Zanzibar kwa iliyoyafanya Tokea 1964 mpaka leo
 
Wakitoka waje na Tanganyika, huku Afrika Mashariki ndiko walipoharibu na kufanya mauaji zaidi kupitia German East Africa Company (GEAC)

Kwanza wawalipe vitukuu na vilembwe vya familia ya Mkwawa na Kinjekitile Ngwale kabla sijamtajia familia zingine.
 
Kwanza muarabu hakutawala Tanzania bara, ametawala Tanzania visiwani na watu walikua wanaishi maisha mazuri tu na Zanzibar walikua wanakiti chao UN na walikua na Passport yao, ilikua ni nchi ya kwanza kuwa na maendeleo mazuri miongoni mwa nchi za Africa mashariki mpaka pale 1964 yalipoenda majeshi ya bara na kupindua Serikali na kuanza kuuwa watu kiholela.

kuna mkanda ulivuja ukionyesha jinsi wakaazi wa Zanzibar walivyouliwa baada ya mapinduzi nenda YouTube andika revolution of Zanzibar utajionea unyama alioufanya mtu mweusi kwa hao majirani wenu kitu ambacho hakitakiwi kujulikana na pia kinafichwa, jisomee fuatilia habari na sio unabwabwaja tu kutokana na mihemuko yako ya kidini, kuna mambo mengi tu yalifanyika na yanaendelea kufanyika.

View attachment 1800269
Duh niliskia bwana mmoja anasema kule Zanzibar kuna watu wameamua kumtoa mwarabu kwenye uovu wa uuaji na utumwa alioufanya, Leo wanamsafisha Ni msafi Hana doa. Eti mwarabu alikuja kueneza uislamu tu. La hasha. Mungu awahurumie na dhambi hii. Kinyume chake wanajaribu kumfanya mwingereza , mreno, na mfaransa kuwa katili wa kutupwa. Ajabu!
Sibishi kuwa wazungu pia Ni wakatili Sana lakini hili halifichi uhalisia wa kilichofanywa na waarabu kwa Karne nyingi. Wao ndio waliowafanya wapwani na wabara watumwa. Wale waliofika arabuni wakahasiwa kutoleta uchotara ndani ya uarabu. Huku Afrika wakaoa, wakabaka hakuna aliyeongea.
Baba angu alinambia siku moja namna baba yake alivyoshurutishwa kwenda Tanga kwa miguu . Akapigwa Sana akafa akiwa kiziwi kwa kipigo. Kipindi hicho utumwa ulipoa kidogo lakini waliathirika.
Nb.
Utumwa ulifika kote kuanzia Zanzibar. Dodoma, Tabora bagamoyo mpaka Tanga nk.
 
Na waarabu ni watakatifu sio. Wale waliokuwa wanafungwa minyororo visiwani Unguja na Pemba yalifanywa na waswahili?
Umewaona wapi au umeona yale masanamu, kama masanamu yamejengwa na nani? Je yale masanamu yalikueko kabla ya mapinduzi, acheni undezi na history yenu potofu
 
Mkuu unafurahisha genge eee?!!!

Yaani kuwaua WAYAHUDI MILIONI 6 katika gesi za sumu haukuwa unyama wa mno ?!!!

Yaani kuwaua babu zetu kuanzia kusini mwa Tanganyika mpaka masharika katika Vita vya majimaji na yale maviboko waliyokuwa wakichapwa mababu zetu na KUWANYONGA katika miti mikubwa kule Songea na Pangani unafanyia MASKHARA kweli ?!!!

Yaani kuwaua watoto wa HERERO NA NAMA unalinganisha na siasa za vyama vyetu ?!!! Khaaaa
Usisikitike ndugu,Mbuzi ukimpigia gitaa usitegemee acheze utapoteza mda na Nguvu zako buree.imenenwa Waache wafu wazike wafu wao.
 
Ujerumani imekiri rasmi kufanya mauaji ya kimbari enzi za Ukoloni wa Namibia. Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Heiko Maas ameomba radhi kwa Taifa pamoja na walioathiriwa na matukio hayo.

Watawala wa Ujerumani waliua maelfu ya watu kutoka Jamii za Herero na Nama mwanzoni mwa Karne ya 20. Katika kutambua athari za mauaji hayo, itaiunga mkono Namibia kupitia programu ya maendeleo yenye thamani ya Dola za Marekani Bilioni 1.34.

=====

Germany has officially acknowledged that it committed genocide during its colonial-era occupation of Namibia and has agreed to pay financial support.

German colonisers killed tens of thousands of Herero and Nama people there in early 20th century massacres.

Foreign Minister Heiko Maas on Friday acknowledged the killings as genocide.

"In light of Germany's historical and moral responsibility, we will ask Namibia and the descendants of the victims for forgiveness," he said.

Mr Maas added that Germany would, in a "gesture to recognise the immense suffering inflicted on the victims", support the country's development through a programme worth more than 1.1 billion euros (£940m; $1.34bn).

The agreement will reportedly see funding paid over 30 years through spending on infrastructure, healthcare and training programmes benefiting the impacted communities.

But some traditional leaders have so far refused to endorse the deal, the state-owned New Era newspaper reported.

Friday's statement came after five years of negotiations with Namibia - which was under German occupation from 1884 to 1915.

Then known as German South West Africa, the atrocities committed there have been described by historians as "the forgotten genocide" of the early 20th Century.

The UN defines genocide as a number of acts, including killing, committed with the intent to destroy, in whole or in part, a national, ethnic, racial or religious group.

The killings began in 1904 after a Herero and Nama rebellion over German seizures of their land and cattle.

The head of the military administration there, Lothar von Trotha, issued an extermination order and the Herero and Nama were forced into the desert.

Any who were found trying to return to their land were either killed or put into concentration camps. There is no agreed figure of how many died but the death toll was in the tens of thousands - decimating the populations of the indigenous groups.

The atrocities have long-plagued relations between Germany and Namibia, with years of negotiation between their governments on how to reconcile the legacy of the genocide.

In 2018 Germany handed back some human remains which had been used as part of now-discredited research to prove the racial superiority of white Europeans.

Foreign Minister Maas said the negotiations had aimed to find "a common path to genuine reconciliation in memory of the victims" with members of the Herero and Nama communities closely involved in talks.

"We will now officially refer to these events as what they are from today's perspective: genocide," he said in Friday's statement.

Vekuii Rukoro, a Herero paramount chief who tried to sue Germany for compensation in US court, has said the deal is not enough to cover the "irreversible harm" suffered at the hands of colonial forces.

"We have a problem with that kind of an agreement, which we feel constitutes a complete sell-out on the part of the Namibian government," he told the Reuters news agency.

German media reports say a declaration is expected to be signed by the German Foreign Minister in the Namibian capital, Windhoek, next month before being ratified by each country's respective parliaments.

President Frank-Walter Steinmeier is then expected to travel to the country to officially apologise in person.

Source: BBC
Kmmk sasa wanamuachaje Namibia ili afute machozi
 
Back
Top Bottom