UJERUMANI: Waandaji wa Tamasha la Muziki wajenga bomba la kusafirisha bia hadi tamashani

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397

Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni!! Wakati nchi yetu ya Tanzania ikiingia mkataba na Uganda kwa ujenzi wa Bomba la kusafirisha mafuta kutoka mjini Hoima hadi Tanga hii tofauti kabisa na ujerumani ambapo hao wapo mbioni kujenga bomba la kusafirishia pombe.

Waandaaji wa Tamasha moja maarufu la muziki wa rock lijulikanalo kama Wacken Open Air Festival nchini Ujerumani wamewahakikishia wateja wao laki moja (100,000) kwamba, kamwe msimu huu mpya hawatokumbwa na uhaba wa pombe kwani watajenga bomba refu la kusafirisha kinywaji hicho maeneo yote kutakakofanyika tamasha hilo.

Maamuzi ya kujenga bomba hilo la pombe yamekuja baada ya malalamiko kutoka kwa wahudhuriaji wa tamasha hilo wakidai kila mwaka limekuwa likishindwa kuwahudumia vinywaji vya kutosha kitu ambacho kinasababisha bei ya vinywaji kuongezeka maradufu.

Ujenzi wa bomba hilo utagharimu kiasi cha Euro milioni 1 sawa na shilingi bilioni 2.5 za kitanzania huku likitarajiwa kukamilika mwezi July siku chache kabla ya Tamasha hilo kuanza.

Ujerumani inakadiliwa kuwa ni nchi ya 3 kwa utumiaji wa pombe duniani ambapo kila mwaka mwananchi mmoja hutumia lita 115.5 za pombe ikiwa nyuma ya nchi za Ireland na Jamhuri ya Czech.

Tamasha la Wacken Open Air festival ni moja ya matasha makubwa ya muziki wa Rock duniani ambapo mwaka huu litafanyika Tarehe 3-5 ya mwezi Augosti kwenye viunga vya mji wa Schleswig-Holstein kaskazini mwa Ujerumani na baadhi ya wasanii watakaotumbuiza ni wakongwe Marilyn Manson na Status Quo.

======

Draft-beer.jpg
As the worlds largest metal music festival, Wacken Open Air Festival has built an underground pipeline for draft beer. Last year the festival organizers found that its 75,000 attendees consumed an average of 5.1 liters of beer per person over the course of the event.

Transporting the beer needed to keep its crowd hydrated throughout the festival proved to be nearly impossible last year. This necessitated an alternative libation logistics system. It’s solution was to dig an underground pipeline for draft beer.

The pipeline will run 80cm underground for a length of four miles. Not only will the pipeline deliver six pints of beer in six seconds, but the underground pipeline will keep the festival’s liquid gold cold. This year, Wacken festival-goers can expect acts such as Megadeath, Alice Cooper and Marilyn Manson to perform.
 
Mungu awasidie ISSI wasiwatibulie shughuli zao
 
Ndiomana sitaki kufanya kazi ktk serikali ya mjomba

Ntalikosaje kuhudhulia tamasha kama hilo kwamfano
 
Safi sana natumaini utamaduni wa reinheitsgebot utakuwa umezingatiwa kwenye ubora wa hiyo bia
 
Wazungu ni makini wanaangalia Cost and Benefit analysis sana,..ukiona wameanzisha project basi pay yake ni kubwa,kwa iyo sishangai ata wakijenga treni kwenda mars,..
 
Back
Top Bottom