Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,737
- 239,361
Hii timu imezoea ushindi, haina wasiwasi na wala haitegemei uwezo wa mchezaji mmoja mmoja, wanacheza Total football, ukishangaa watakuadhiri kwa kiwango ambacho hutasahau!
Hawana presha ya vyombo vya habari maana hawajadiliwi sana, ni kama wamesahaulika vile.
Nawatabiria kufika mbali.
Hawana presha ya vyombo vya habari maana hawajadiliwi sana, ni kama wamesahaulika vile.
Nawatabiria kufika mbali.