Ujerumani kutoa Euro milioni 30 kwa ajili ya chanjo za watoto kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki

Zurie

JF-Expert Member
Jul 6, 2014
1,740
4,230
Serikali ya Ujerumani imetenga mafungu mawili ya misaada(grants) yenye thamani ya jumla ya Euro milioni 35 kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Mheshimiwa Egon Kochake ambaye ni Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania alitoa hati ya ahadi ya kutoa misaada hiyo kwa Katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo, Ndugu Liberat Mfumukeko.

Katika misaada hiyo, Euro milioni 30 zitatumika kununua chanjo mbalimbali za watoto katika nchi za Afrika Mashariki ambapo programu hiyo itatelekezwa pamoja na GAVI Alliance. Msaada huu utafanya msaada wa Ujerumani katika prgramu za chanjo katika ukanda huu tangu 2012 kufikia Euro milioni 90.

Euro Milioni 5 zilizobaki zinatarajiwa kutumika kulipia udhamini wa masomo ya shahada za juu katika Jumuiya ya Afrika Mashariki.

IMG_3066.JPG

Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania, Bw. Egon Kochanke akiwa na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mh. Liberat Mfumukeko

========

P R E S S R E L E A S E


Germany commits an additional 35 million Euros for Health and Education in the EAC

The Government of the Federal Republic of Germany yesterday committed two grants amounting to € 35 million Euros to the East African Community (EAC). His Excellency, Egon Kochanke, German Ambassador to Tanzania, handed over the commitment note in his meeting yesterday with the EAC Secretary General Liberat Mfumukeko.

The financial cooperation grants will be available for the sectors of health and education: Germany will provide 30 million Euros for the procurement of vaccines for children in the EAC against various diseases. The programme will be implemented in collaboration with the GAVI Alliance. This new commitment will bring Germany`s contribution to regional immunisations programmes with the EAC to 90 million Euros since 2012.

A further 5 million Euros are foreseen for a new program financing scholarships for post-graduates in the East African Community. The program thus aims at strengthening the younger academic generation in becoming catalysts for further regional integration.

H.E. Egon Kochanke pointed out: "The cooperation with the EAC and with the GAVI Alliance on vaccinations are an important pillar in fighting diseases in the region. And our new envisaged scholarship program is another stepping stone towards stronger regional integration in East Africa."

Since as early as 1998, Germany's development cooperation, on behalf of the German Federal Ministry for Economic Cooperation and Development (BMZ), has contributed to the regional integration in East Africa through a variety of programmes and projects. With the new commitments Germany's funding for Technical and Financial Cooperation with the EAC amounts to over 200 million Euros.
 
Kuna waliosemaga Tanzania bila misaada inawezekana...Hii nchi ni tajiri

hahahahahaha...........Mkuu wewe unaishi wapi huna habari? Kwa taarifa yako wale jamaa wa IPTL sasa tumesihawatia nguvuni! Na hiyo ndo safari ya kuachana na misaada ya aibu kama hii eti Euro 30M za chanjo! kwa nchi yenye makinikia makonteina kwa makonteina!
 
hahahahahaha...........Mkuu wewe unaishi wapi huna habari? Kwa taarifa yako wale jamaa wa IPTL sasa tumesihawatia nguvuni! Na hiyo ndo safari ya kuachana na misaada ya aibu kama hii eti Euro 30M za chanjo! kwa nchi yenye makinikia makonteina kwa makonteina!
aisee ni balaa
 
Back
Top Bottom