Ujenzi wamuomba JK amdhibiti Magufuli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujenzi wamuomba JK amdhibiti Magufuli

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by nngu007, May 16, 2011.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  May 16, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  123

  hurreakkjjm
   
 2. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #2
  May 16, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Huu ni Upuuzi na majungu ya ajabu sana yaani hakuna cha maana hapo, unadhani nafasi moja hiyo ya Tanroads itakaliwa na wangapi? Nani kasema Mrema alifanya madudu, madudu gani alifanya mbona madudu ya Mrema hawayasemi!

  Ni lazima hapo Tanroads awepo mtu mmoja, ambaye ni Mtanzania atakaye weza kufanya hiyo kazi, huyo Mfugale mnaye jaribu kumpiga majungu mbona hamtaji weakness zake mnalalama tu! Mfugale anafaha wamejuaje kama Rais alikuwa anampunguzia kazi iliaje Tanroads?! Tayari tunajuwa kuwa Mrema alikuwa mchapa kazi na mlimchukia kwasababu aliibua Wizi wenu mkubwa hapo na hata kuwasimamisha Wakurugenzi waliokuwa Miungu mtu. Mnataka rais aingilie nini? sisi tunasema Rais apunguziwe madaraka hanayo mengi bado mnaota ndoto za Ujima!! toeni sababu zinazo wafanya mshuke morali ya kazi kwa kuanisha kuanzia sababu moja hadi ya mwisho la sivyo Magufuri awafukuze kazi hao ambao hawataki kufanya kazi wanaleta kiburi kazini!

  Hao watu wasiwe wapumbavu wakuamini kuwa wao ndio Watanzania pekee wakuweza kushika hizo nafasi kama hawataki kufanya kazi na Magufuri anajua na anauthibitisho watoke waingine wengine wasukume durudumu.
   
 3. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #3
  May 16, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Sijapata kitu hapa! Au mtoa mada ndiye mchangia mada huyo huyo!! Hii JF ina watu wa ajabu.
   
Loading...