Ujenzi wa uwanja wa michezo Ruangwa kwa Waziri mkuu waanza rasmi

kirerenya

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
1,696
2,252
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akishiriki katika ujenzi wa uwanja mpya wa michezo wilayani Ruangwa.

PM1.jpg

PM2.jpg

PM3.jpg
 
Enzi za Nyerere zimeisha. Sasa kila kiongozi wa nchi anajenga kwake!
 
yaani kaazi kwelikweli,hii nchi itaendelea tu kuwa shamba la bibi,sasa huo uwanja nani ataenda kuutumia huko?au ndio kama vile vya nangwanda sijaona?
 
Tunampongeza kwa kweli,angalau kusini sasa nako watasikika kwenye tasnia ya michezo kulisahaulika sana,big up PM...
 
Mnaolalamika mnataka hicho Kiwanja kingejengwa wapi?

Ruangwa ni Tanzania pia
 
Back
Top Bottom