Ujenzi wa uwanja wa kisasa wa ndege Chato unaendelea vizuri

Mantombazane

JF-Expert Member
Sep 7, 2014
572
356
Ujenzi wa uwanja wa ndege wa Chato ukiendelea kwa kasi,ambapo mpaka sasa uwanja huo umekamilika kwa asilimia 63.Kwa mujibu wa Meneja wa Tanroads Mkoa wa Geita.

Mhandisi Haruna Senkuku alimweleza Mkuu wa Mkoa Geita kuwa uwanja huo una Run way ya Kilometa 3 ambapo hadi kukamilika mradi huo utagharimu kiasi cha shilingi Bilioni 39.

23031717_403430250076124_1517926547635102681_n.jpg
 
Kitendo cha Bunge kukaa kimya na kukubali ujenzi wa hichi kiwanja cha ndege, imetupa ujumbe mzito sana sie wananchi. Inamaana kweli wachumi wote, washauri, watunga sera, wapitisha bajeti, wameshindwa kabisa kutetea kiuchumi faida na hasara za kujenga huu uwanja Chatto?
 
Ant-Magufuli wanao ongozwa na Zitto Kabwe kwa sasa watapo isikia habari hii lazima wapasuke
 
Back
Top Bottom