Ujenzi wa Terminal III ya J.K Nyerere International Airport waanza

Kuna vingine havihitaji porojo sasa hapo kampuni ngapi za wazawa zenye uwezo wa kufanya mradi kama huo, Nchi za wenzetu kina nani hao wenzetu?
Kuna wakati lazima tukubali ukweli kuwa bado hatuna uwezo lakini tunakua, Tanzania ya miaka 50 iliyopita ni tofauti na ya leo, Hao wanaoziangalia kompyuta hawakuibuka na kujikuta wanaziangalia tu
Inaweza kuwa ni ukweli ama uogo.
Majengo yafuatayo yamejengwa na wazawa/ Watanzania
1. New Africa Hotel
2. Soko la Kariakoo
3. Jengo la Kitega uchumi
4. Kilimanjaro Hotel
5 . NIC house pale samora
6. Nadhani kuna project nyingi na kubwa sana hapa nchini zimejengwa na wazawa, haya majengo mapya mnayoyaona kujengwa na wachina - ni ulimbukeni tu wa watawala wetu kupendi mambo ya kigeni.
 
Wewe ni zaidi ya janga, hata kama ni hizo buku7 lakini muwe mnaangalia na pa kuleta masikhara.
Jamaa anasikitika tuna ndege 1 wewe unamuuliza alitakaje?
Wewe Nifah, kwa hio tukiwa na ndege moja tu, hatustahili kujenga viwanja vya ndege mpaka tuwe na ndege nyingi?
 
a53.jpg
Mdogo mdogo, naona kuna maendeleo kidogo.

IMG-20150325-WA001_zpsca8mk6cy.jpg

Waheshimiwa maendeleo yamefikia wapi?, hakuna picha mupya?
 
BAM ni moja ya contractors wazuri sana ..wataifanya hii terminal kuwa kali sana ..kitu ninachofurahia itakuwa na maegesho na special airbridges za AIRBUS A380
 
jamani ni muda mrefu sasa tangu uanze ujenzi wa hii Terminal III, hivi tatizo la kutokamilika kwa hii terminal mpaka sasa ni nini hasa?
 
Back
Top Bottom