Mimi nilikuwa sijui kama SMZ wana ofisi bara, zinafanya nini na mpaka wa SMZ mwisho chumbe mbele kidogo? Mi nataka wazuie kila kitu ili haya mazumbukuku yaelewe.Hata sukari ya Zanzibar hawaitaki vipi hayo majengo ya Zanzibar yatawasaidia wazanzibari? Ni kupoteza fedha za walipa kodi tu Wallah