Ujenzi wa Taasisi za Serikali ya Zanzibar Jijini Dodoma kuanza ndani ya wiki moja

Hata sukari ya Zanzibar hawaitaki vipi hayo majengo ya Zanzibar yatawasaidia wazanzibari? Ni kupoteza fedha za walipa kodi tu Wallah
Mimi nilikuwa sijui kama SMZ wana ofisi bara, zinafanya nini na mpaka wa SMZ mwisho chumbe mbele kidogo? Mi nataka wazuie kila kitu ili haya mazumbukuku yaelewe.
 
Back
Top Bottom