Ujenzi wa soko la kisasa Njombe wafikia 75%

mamayoyo1

JF-Expert Member
Jul 25, 2018
1,011
1,019
Halmashauri ya mji wa Njombe mkoani Njombe inaendelea kufanikisha ujenzi wa soko kuu na la kisasa ambapo mpaka sasa ujenzi umefikia asilimia 75 licha ya mkandarasi kukabiliwa na changamoto mbali mbali za ujenzi ikiwemo upatikanaji wa kokoto.

Akizungumza na waandishi wa habari mhandisi msimamizi wa ujenzi wa soko hilo Mboka justin lwambogo licha ya kukabiliwa na changamoto katika ujenzi huo wanatarajia kukamilisha ifikapo oktoba 28 mwaka huu endapo halmashauri itakamilisha haraka baadhi ya vitu muhimu vinavyohitajika katika soko hilo.

“Tumeongezewa mda wa ujenzi mpaka 28 mwezi wa 10,tunategemea tukamaliza kwa kuwa kwenye swala la ujenzi huwa kuna ujenzi,lakini pia kwenye jengo letu kuna upande ambao unatakiwa ujengwe ukuta wa kuzuia udongo usishuke chini,hivyo ni baadhi ya vitu ambavyo vipo ndani ya mda umeongezeka lakini kama vitatatuliwa kwa haraka zaidi tunaweza tukamaliza jengo kwa mda huo”alisemaMboka justin

Hata hivyo wakati ujenzi wa soko la kimataifa mkoani humo ukiwa ukingoni kumalizika katika mji wa Njombe,baadhi ya wafanyabiashara walioondoshwa kupisha ujenzi huo na kupelekwa katika soko la Dodoma akiwemo Victoria uhahula,Hawa mohamed na Oresta kigora wameendelea kulalama wakidai wamezika mitaji yao.

“Huku kwa kweli bado hali ni mbaya tunakaa toka asubuhi tunauza 1000 hamna biashara,sisi tunaomba serikali itukamilishie mapema soko lile turudi maana mitaji yetu kama mnavyoona tumezika”alisema Oresta kigola mmoja wa wafanyabiashara.

Edwirn mwanzinga ni mwenyekiti wa halmashauri ya mji wa Njombe amesema endapo soko hilo litakamilika baada ya kumuongezea muda mkandarasi wa kampuni ya Nandra kutokana na sababu mbalimbali litakwenda kuwa mkombozi katika uchumi wa wananchi mjini humo.

“Badala ya kumaliza lile soko mwezi wa nane tumejikuta sasa mkandarasi inabidi aende mpaka mwezi wa kumi,kama atakwenda vizuri na ninaimani anakwenda vizuri kwasababu shughuli zilizo nyingi zinakamilika na wafanyabiashara wa Njombe watuvumilie kwasababu lile soko likiisha kutakuwa na mabadiliko makubwa sana kuanzia muonekano wa mji”alisema Mwanzinga.

Hadi kukamilika kwa ujenzi wa soko hilo litatumia zaidi ya shilingi bilioni 9 huku likiwa na meza za chini 404 maduka 161 pamoja na eneo la mgahawa wa vip na mgahawa wa mama lishe soko ambalo litachukua zaidi ya wafanyabiashara 1000.
 
mamayoyo1 unakata mbuga, hongera. Hilo ni soko au shopping mall? Si nasikia Wakinga wamekimbilia Dar sasa hao wafanyabiashara wa kujaza hilo soko watatoka wapi? Hongereni watu wa Njombe kwa soko hilo lenye mgahawa wa VIP
 
Waafrika tuna batara kupita kiasi. Its just waste of resources. Soko hilo ndio.la kuuzia nyanya na viazi, mwisho wake tunashindwa kuli maintain.
 
Halmashauri ya mji wa Njombe mkoani Njombe inaendelea kufanikisha ujenzi wa soko kuu na la kisasa ambapo mpaka sasa ujenzi umefikia asilimia 75 licha ya mkandarasi kukabiliwa na changamoto mbali mbali za ujenzi ikiwemo upatikanaji wa kokoto.

Akizungumza na waandishi wa habari mhandisi msimamizi wa ujenzi wa soko hilo Mboka justin lwambogo licha ya kukabiliwa na changamoto katika ujenzi huo wanatarajia kukamilisha ifikapo oktoba 28 mwaka huu endapo halmashauri itakamilisha haraka baadhi ya vitu muhimu vinavyohitajika katika soko hilo.

“Tumeongezewa mda wa ujenzi mpaka 28 mwezi wa 10,tunategemea tukamaliza kwa kuwa kwenye swala la ujenzi huwa kuna ujenzi,lakini pia kwenye jengo letu kuna upande ambao unatakiwa ujengwe ukuta wa kuzuia udongo usishuke chini,hivyo ni baadhi ya vitu ambavyo vipo ndani ya mda umeongezeka lakini kama vitatatuliwa kwa haraka zaidi tunaweza tukamaliza jengo kwa mda huo”alisemaMboka justin

Hata hivyo wakati ujenzi wa soko la kimataifa mkoani humo ukiwa ukingoni kumalizika katika mji wa Njombe,baadhi ya wafanyabiashara walioondoshwa kupisha ujenzi huo na kupelekwa katika soko la Dodoma akiwemo Victoria uhahula,Hawa mohamed na Oresta kigora wameendelea kulalama wakidai wamezika mitaji yao.

“Huku kwa kweli bado hali ni mbaya tunakaa toka asubuhi tunauza 1000 hamna biashara,sisi tunaomba serikali itukamilishie mapema soko lile turudi maana mitaji yetu kama mnavyoona tumezika”alisema Oresta kigola mmoja wa wafanyabiashara.

Edwirn mwanzinga ni mwenyekiti wa halmashauri ya mji wa Njombe amesema endapo soko hilo litakamilika baada ya kumuongezea muda mkandarasi wa kampuni ya Nandra kutokana na sababu mbalimbali litakwenda kuwa mkombozi katika uchumi wa wananchi mjini humo.

“Badala ya kumaliza lile soko mwezi wa nane tumejikuta sasa mkandarasi inabidi aende mpaka mwezi wa kumi,kama atakwenda vizuri na ninaimani anakwenda vizuri kwasababu shughuli zilizo nyingi zinakamilika na wafanyabiashara wa Njombe watuvumilie kwasababu lile soko likiisha kutakuwa na mabadiliko makubwa sana kuanzia muonekano wa mji”alisema Mwanzinga.

Hadi kukamilika kwa ujenzi wa soko hilo litatumia zaidi ya shilingi bilioni 9 huku likiwa na meza za chini 404 maduka 161 pamoja na eneo la mgahawa wa vip na mgahawa wa mama lishe soko ambalo litachukua zaidi ya wafanyabiashara 1000.
Billioni tisa tu mbona hela ndogo sana. Kumbe naweza kujenga masoko kama hilo kwa kila wilaya
 
Hongereni sana ila wasiwasi wangu tu kuwa watu watajenga soko nje ya soko, hilo la nje litauza zaidi ya soko kuu. Refer machinga complex.
 
Njombe,baadhi ya wafanyabiashara walioondoshwa kupisha ujenzi huo na kupelekwa katika soko la Dodoma akiwemo Victoria uhahula,Hawa mohamed na Oresta kigora

Wewe mwandishi kanjanja kabisa, tangu lini majina ya watu yakaandikwa kwa herufi ndogo!!?

Halafu siyo kuondoshwa, ni kuondolewa

Nimekuheshimu, uandishi wako una dosari nyingi sana sijui ulikuwa kwenye mashindano!!!? Kajirekebishe.
 
Halmashauri ya mji wa Njombe mkoani Njombe inaendelea kufanikisha ujenzi wa soko kuu na la kisasa ambapo mpaka sasa ujenzi umefikia asilimia 75 licha ya mkandarasi kukabiliwa na changamoto mbali mbali za ujenzi ikiwemo upatikanaji wa kokoto.

Akizungumza na waandishi wa habari mhandisi msimamizi wa ujenzi wa soko hilo Mboka justin lwambogo licha ya kukabiliwa na changamoto katika ujenzi huo wanatarajia kukamilisha ifikapo oktoba 28 mwaka huu endapo halmashauri itakamilisha haraka baadhi ya vitu muhimu vinavyohitajika katika soko hilo.

“Tumeongezewa mda wa ujenzi mpaka 28 mwezi wa 10,tunategemea tukamaliza kwa kuwa kwenye swala la ujenzi huwa kuna ujenzi,lakini pia kwenye jengo letu kuna upande ambao unatakiwa ujengwe ukuta wa kuzuia udongo usishuke chini,hivyo ni baadhi ya vitu ambavyo vipo ndani ya mda umeongezeka lakini kama vitatatuliwa kwa haraka zaidi tunaweza tukamaliza jengo kwa mda huo”alisemaMboka justin

Hata hivyo wakati ujenzi wa soko la kimataifa mkoani humo ukiwa ukingoni kumalizika katika mji wa Njombe,baadhi ya wafanyabiashara walioondoshwa kupisha ujenzi huo na kupelekwa katika soko la Dodoma akiwemo Victoria uhahula,Hawa mohamed na Oresta kigora wameendelea kulalama wakidai wamezika mitaji yao.

“Huku kwa kweli bado hali ni mbaya tunakaa toka asubuhi tunauza 1000 hamna biashara,sisi tunaomba serikali itukamilishie mapema soko lile turudi maana mitaji yetu kama mnavyoona tumezika”alisema Oresta kigola mmoja wa wafanyabiashara.

Edwirn mwanzinga ni mwenyekiti wa halmashauri ya mji wa Njombe amesema endapo soko hilo litakamilika baada ya kumuongezea muda mkandarasi wa kampuni ya Nandra kutokana na sababu mbalimbali litakwenda kuwa mkombozi katika uchumi wa wananchi mjini humo.

“Badala ya kumaliza lile soko mwezi wa nane tumejikuta sasa mkandarasi inabidi aende mpaka mwezi wa kumi,kama atakwenda vizuri na ninaimani anakwenda vizuri kwasababu shughuli zilizo nyingi zinakamilika na wafanyabiashara wa Njombe watuvumilie kwasababu lile soko likiisha kutakuwa na mabadiliko makubwa sana kuanzia muonekano wa mji”alisema Mwanzinga.

Hadi kukamilika kwa ujenzi wa soko hilo litatumia zaidi ya shilingi bilioni 9 huku likiwa na meza za chini 404 maduka 161 pamoja na eneo la mgahawa wa vip na mgahawa wa mama lishe soko ambalo litachukua zaidi ya wafanyabiashara 1000.
Habari hii kule Muungwana Blog imetajwa kuwa imeandikwa na Amiri kilagalila-Njombe lakini hapa imeandikwa na Mamayoyo1.

Hivi wewe mwandishi, pamoja uandishi wako mbovu, unawezaje kukubali sababu ya kwamba Njombe kuna shida ya kokoto kwa ajili ya ujenzi mkubwa?

Sawa..tunakubaliana na mnachosema. Lakini mjue, mnachotaka kukificha nacho kitabuma.

Nilisema ufisadi wa Soko la Njombe nauweka Kiporo. Ngoja niende Masasi nikipitia Songea. Nitakaporudi..nitaanzia kwenye biashara ya mbao.
 
Ulaji Mwanzinga anafahamu
Mara stendi mara soko
Halmashauri kumejaa wizi wa kupindukia
 
Mpajaaa huoooo unatumaliza

Ova
 
Habari hii kule Muungwana Blog imetajwa kuwa imeandikwa na Amiri kilagalila-Njombe lakini hapa imeandikwa na Mamayoyo1.

Hivi wewe mwandishi, pamoja uandishi wako mbovu, unawezaje kukubali sababu ya kwamba Njombe kuna shida ya kokoto kwa ajili ya ujenzi mkubwa?

Sawa..tunakubaliana na mnachosema. Lakini mjue, mnachotaka kukificha nacho kitabuma.

Nilisema ufisadi wa Soko la Njombe nauweka Kiporo. Ngoja niende Masasi nikipitia Songea. Nitakaporudi..nitaanzia kwenye biashara ya mbao.
Mkuu hapa ndipo penyewe; mwaga upupu kama kuna ufisadi ili Waziri Jafo awaibukie kama mwewe.
 
Huyu mamayoyo1 ni Wale waandishi wa online
Aka njaa kali, Kazi kucopy za wengine na kkuleta
Mm uzi zke nakodoleaa mpajaa tu kweny avatar yke

Ova
 
Mkuu hapa ndipo penyewe; mwaga upupu kama kuna ufisadi ili Waziri Jafo awaibukie kama mwewe.
Yaaani navyojua Jafo akitia timu kwa kutumia ripoti za wakaguzi wa ndani hata bila kufika kwa zile CAG atayaona madudu. Akitumia wale viinzi wadogo..atapata kujua hata danadana za Mkandarasi na kadhalika.
 
Halmashauri ya mji wa Njombe mkoani Njombe inaendelea kufanikisha ujenzi wa soko kuu na la kisasa ambapo mpaka sasa ujenzi umefikia asilimia 75 licha ya mkandarasi kukabiliwa na changamoto mbali mbali za ujenzi ikiwemo upatikanaji wa kokoto.

Akizungumza na waandishi wa habari mhandisi msimamizi wa ujenzi wa soko hilo Mboka justin lwambogo licha ya kukabiliwa na changamoto katika ujenzi huo wanatarajia kukamilisha ifikapo oktoba 28 mwaka huu endapo halmashauri itakamilisha haraka baadhi ya vitu muhimu vinavyohitajika katika soko hilo.

“Tumeongezewa mda wa ujenzi mpaka 28 mwezi wa 10,tunategemea tukamaliza kwa kuwa kwenye swala la ujenzi huwa kuna ujenzi,lakini pia kwenye jengo letu kuna upande ambao unatakiwa ujengwe ukuta wa kuzuia udongo usishuke chini,hivyo ni baadhi ya vitu ambavyo vipo ndani ya mda umeongezeka lakini kama vitatatuliwa kwa haraka zaidi tunaweza tukamaliza jengo kwa mda huo”alisemaMboka justin

Hata hivyo wakati ujenzi wa soko la kimataifa mkoani humo ukiwa ukingoni kumalizika katika mji wa Njombe,baadhi ya wafanyabiashara walioondoshwa kupisha ujenzi huo na kupelekwa katika soko la Dodoma akiwemo Victoria uhahula,Hawa mohamed na Oresta kigora wameendelea kulalama wakidai wamezika mitaji yao.

“Huku kwa kweli bado hali ni mbaya tunakaa toka asubuhi tunauza 1000 hamna biashara,sisi tunaomba serikali itukamilishie mapema soko lile turudi maana mitaji yetu kama mnavyoona tumezika”alisema Oresta kigola mmoja wa wafanyabiashara.

Edwirn mwanzinga ni mwenyekiti wa halmashauri ya mji wa Njombe amesema endapo soko hilo litakamilika baada ya kumuongezea muda mkandarasi wa kampuni ya Nandra kutokana na sababu mbalimbali litakwenda kuwa mkombozi katika uchumi wa wananchi mjini humo.

“Badala ya kumaliza lile soko mwezi wa nane tumejikuta sasa mkandarasi inabidi aende mpaka mwezi wa kumi,kama atakwenda vizuri na ninaimani anakwenda vizuri kwasababu shughuli zilizo nyingi zinakamilika na wafanyabiashara wa Njombe watuvumilie kwasababu lile soko likiisha kutakuwa na mabadiliko makubwa sana kuanzia muonekano wa mji”alisema Mwanzinga.

Hadi kukamilika kwa ujenzi wa soko hilo litatumia zaidi ya shilingi bilioni 9 huku likiwa na meza za chini 404 maduka 161 pamoja na eneo la mgahawa wa vip na mgahawa wa mama lishe soko ambalo litachukua zaidi ya wafanyabiashara 1000.
Weka Picha tuone
 
Hongereni sana ila wasiwasi wangu tu kuwa watu watajenga soko nje ya soko, hilo la nje litauza zaidi ya soko kuu. Refer machinga complex.
Sio machinga pekee angalia hata soko la kariakoo.

Watu wa barabarani wanauza kuliko wa ndani
 
Back
Top Bottom