Ujenzi wa shule kwa michango ya umma

Mkuwainnocent

Member
Oct 4, 2018
7
2
Kuna project ya ujenzi wa kituo cha watoto yatima pamoja na shule itakayochukua watoto wanaoishi mazingira magumu,project hiyo itafahamika kwa jina la "Nilee,Nikutunze project".

Ujenzi huu utawalenga baadhi ya watoto kutoka maeneo yote ya nchi Mara baada ya kukamilika.Lakini kwa kiasi kikubwa utategemea michango yetu kama jamii,maana nimehangaika kutafuta wafadhili bila mafanikio.

Vilevile nimefikilia kumuomba Mh.Paul makonda kuwa msimamizi mkuu wa hii project.
Ninahitaji mchango wenu wa mawazo namna gani naweza kufanikisha hili.
 
Miradi ya orphanages mara nyingi ni fursa za upigaji, ubaguzi, upendeleo na unyanyapaaji...!!
Hao unaowataja taja kwenye mradi wako ni uthibitisho...
 
Miradi ya orphanages mara nyingi ni fursa za upigaji, ubaguzi, upendeleo na unyanyapaaji...!!
Hao unaowataja taja kwenye mradi wako ni ithibitisho...
Brother,,this project is seriously issue.Na hautakua mojaa ya hiyo mingne mingi unayosema.Dhamira yangu ni kuhakikisha hili linasimamiwa kikamilifu kam ilivyokusudiwa
 
Mkuu mimi nimefanya kazi na miradi kama hii kwa muda mrefu sana... Naijua nje ndani...
Waanzilishi wanakuwa na malengo mazuri sana kwenye papers... But in real life kila kitu kinaishia "upigaji, ubaguzi, upendeleo, udhalilishaji, unyanyapaaji (child abuse), etc..."
Hasa hasa unaposhirikisha siasa na dini...!
Kama ulikuwa hujui hilo basi take from me...!
 
Asante sana kwa ushauri wako nitaufanyis kazi....!
Lakini napenda kupata ushauri kutoka kwako namna gan naweza kufanikisha hili
 
Najua wewe unachotaka kikubwa ni fedha... Utafute uwanja/shamba... Ujenge ofisi, hostels na madarasa kadhaa... Ununue hiki ununue kile... Ulee na uwatunze watoto.

Je, umejipanga vipi kuwapata hao watoto wasije wakawa ni watoto wako na wa ndugu zako au wafadhili wako?
Je, umejipanga vipi kuhakikisha ulinzi, usalama, malezi na makuzi ya watoto?

Je, unajua kuwa orphanages nyingi zinahusika kwenye biashara haramu ya kutorosha, kusafirisha, kuuza na kutumikisha watoto..??
Je, upo tayari kuweka documents zako hadharani ili wadau wazisome na kujiridhisha kabla ya kuchangia?

NB: Wafadhili na philanthropists wanaogopa sana miradi kama hii ya watoto yatima... So ukiona hupati commitments ujue ni kwa sababu hizo...!!
 
Najua wewe unachotaka kikubwa ni fedha... Utafute uwanja/shamba... Ujenge ofisi, hostels na madarasa kadhaa... Ununue hiki ununue kile... Ulee na uwatunze watoto...
Je, umejipanga vipi kuwapata hao watoto wasije wakawa ni watoto wako na wa ndugu zako au wafadhili wako?
Je, umejipanga vipi kuhakikisha ulinzi, usalama, malezi na makuzi ya watoto??
Je, unajua kuwa orphanages nyingi zinahusika kwenye biashara haramu ya kutorosha, kusafirisha, kuuza na kutumikisha watoto..??
Je, upo tayari kuweka documents zako hadharani ili wadau wazisome na kujiridhisha kabla ya kuchangia??

NB: Wafadhili na philanthropists wanaogopa sana miradi kama hii ya watoto yatima... So ukiona hupati commitments ujue ni kwa sababu hizo...!!
Nmekuelewa ndugu.
But dhamira yangu ni njema,kam nilivyosema awali kuwa hii project sio kwa ajili ya mambo haramu uliyotaja hapo juu.Nakili kuwepo kwa vitu vya namnaa hiyo lakini kupitia hii project nitafanya kadri ilivyokusudiwa ndio maana nafikilia usimamizi wake uwe chin ya my.makonda nk, ikishindikana hilo hata mm mwenyewe nitamanage
 
Mh.makonda
 
Duuuh... I wish to learn orphanages management from you two..
Nikutakie kila la kheri
 
Back
Top Bottom