Ujenzi wa SGR waupitia sehemu ya kiwanda cha Samaki Bahari Bounty.Waanza kubomoa ukuta wa Ghala

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
Ujenzi wa SGR hapa mwanza hautawaacha salama wakati wa mkuyuni hadi Voil ,naona hapa hapa sehemu ya kiwanda cha kusindika samaki cha Bahari Bounty washaezua paa la ghala Lao na maandalizi ya kubomoa yameanza.
TANZANIA YA SGR.
 
Sio Bahari Bounty tu, jirani yake GBP mpaka kwenye makaburi ya wahindi ukija huku Petro Africa kanisa la KKT, lile hapajasalimika pia
 
Ila mamlaka zetu zina makosa sana sasa walitoaje vibali vya ujenzi? Maana naamini kiwanda mpaka kianze kufanya kazi lazima kuna taasisi nyingi za serikali zinahusika kuhakiki mambo kadha wa kadha.

Au ni kwamba hili swalal la ujenzi wa reli ni jambo ambalo halijawahi kuwepo katika mipango yoyote ile ya serikali???!!!
 
Y

Yale makaburi yanapaswa yakawekwe maporini, pale pameshakua mjini, zinatakiwa zijengwe PPF kadhaa pale.
 
kabisa sema hadi Mwanza huduma yale majengo yanakatwa kwa nyuma, haya makaburi ya juu karibu na lami ndo yanaisha karibu yote
 
Ngoja wabomolewe tu,hawa jamaa ni wezi tena wezi hasa na sidhani kama Serikali inakusanya Kodi pale kwa Sababu Bahari Bounty kipo ndani ya Vicky Fish! yaani hawa ni sawasawa na ABC & ACACIA! Serikali iwamulike hawa Wahindi Na pia kinachobolewa sehemu ya kipande chake ni VICKY FISH sio Bahari Bounty!
 
Ila mamlaka zetu zina makosa sana sasa walitoaje vibali vya ujenzi? Maana naamini kiwanda mpaka kianze kufanya kazi lazima kuna taasisi nyingi za serikali zinahusika kuhakiki mambo kadha wa kadha.

Au ni kwamba hili swalal la ujenzi wa reli ni jambo ambalo halijawahi kuwepo katika mipango yoyote ile ya serikali???!!!
Mahitaji ya standard gauge ni tofauti na metre gauge iliyokuwepo mwanzo.

Wahamie igoma maeneo ya viwanda
 
Ila mamlaka zetu zina makosa sana sasa walitoaje vibali vya ujenzi? Maana naamini kiwanda mpaka kianze kufanya kazi lazima kuna taasisi nyingi za serikali zinahusika kuhakiki mambo kadha wa kadha.

Au ni kwamba hili swalal la ujenzi wa reli ni jambo ambalo halijawahi kuwepo katika mipango yoyote ile ya serikali???!!!
Rushwa ni balaa. Tunavuna tunayopanda
 
Kwani ujenzi wa SGR unaanzia Mwanza??? Acheni kujipa matumaini, unaanzia Dar hadi Moro na huko kwenu labda mwaka 2030
 
IMG_3056.JPG
 
Back
Top Bottom