Stream line
JF-Expert Member
- Apr 22, 2015
- 393
- 239
Kabla tz haijaingia saana kukopa nje. Ione uwezekano wa kipande cha reli kuchangiwa na wa tz wenye nia kisha uwepo uwezekano wa shares kufuatia uwekezaji huo. Nashauri tu. Kama vile pale kigamboni. nusu serikali nusu mashirika.