Ujenzi wa reli ya kisasa unadhihirisha hatuna fikra za kiuchumi

ego

JF-Expert Member
Apr 10, 2013
1,620
1,407
Nimekuwa nikifuatilia ujenzi wa miradi ya maendeleo na ninasikitika kusema Tanzania hii bila kuondoa "old fashion thinking" kamwe tutafukuza upepo katika uchumi.

watu wa zamani waliwaza ili uimarishe uchumi unahitaji unahitaji kujenga barabara, kujenga reli, kujenga mitambo ya maji, kujenga mitambo ya umeme na kadhalika na fikra zao ziliishia hapo.

Mtu yeyote anayewaza kwa kukomea hapo na fikra zake ni kuwaza ukisha jenga haya yatatumikaje kwa kuwaza tu ukimaliza kujenga wananchi watapata huduma za usafiri, watapata maji, watapata umeme na kadhalika bila kuangalia kwa kina fursa zote zilizoko katika jambo hilo na kuzitumia ipasavyo hana fikra za ulimwengu wa leo bali anawaza kama wazee wetu baada tu ya kupata uhuru.

Fikra za Leo tunategemea viongozi waone kuwa kama unajenga reli kuna fursa nyingi kwa watanzania hawa.

1. Kuna fursa ya kutoa training kwa watanzania.

kama unajenga reli ya kisasa leo hii Dar to Moro, unaweza kuweka masharti ya Kampuni ya kigeni ni lazima iingie Joint venture na local company let say foreign 60 na local 40 na ratio ya wataalamu watakaotumika katika idara zote iwe hivyo.

hapa utatoa fursa ya wataalamu wako wa ndani kupata exposure kwa kufanya kazi na watu wazoefu waliotoka nje na kupata fursa za experience. ukifanya hivyo katika phase tatu let say dar moro, then moro Dom, and then Dom to ... wataalamu wako hawa watakuwa na uwezo wa kitaalamu kufanya kandarasi kama hizo.

lakini wazee wetu baada ya uhuru hawakuona haya na baadhi ya watu wanaojidhania viongozi leo hii lakini hawana vision ya wanataka kuzipeleka nchi zao kwa kutumia njia zipi. bado fikra hizo za kizamani wanawaza taining kwa kujenga vyuo tu na fursa kama hizi wanaajiri wageni asilimia mia moja na watanzania wanaofanya kazi kwenye miradi hii ni vibarua tu.

miaka kumi baada ya miradi kama hii nchi bado inadai haina wataalamu wa kufanya kazi hizo. utawapata wapi bila kulinda fursa za watu wako katika miradi hii.

kwa sasa viongozi wetu watueleze makubaliano yakoje?

2. Fursa ya pili ni ya Kupata fedha za kigeni

Miradi mikubwa kama mradi huu tunaijenga kwa kutumia mikopo kutoka mabenki ya kimataifa au wafadhili. Miradi hii ni fursa zinazoweza kuipatia nchi fedha za kigeni iwapo nchi itaweka mikakati ya kutumia wataalamu wake, kutumia materials za ndani na kupitia kodi.

kodi zote tunasamehe, tunawaacha wageni kuchukua kandarasi zote kwa asilimia 100 na material zote wanachukua nje isipokuwa vibarua na vitu vya kipuuzi kama kokoto na mchanga.

tunahitaji kupiga hesabu za kiuchumi kuwa katika mkopo fulani tunataka asimia ngapi ibaki kwenye nchi yetu kwa kutoza kodi, kutumia wataalamu na materials zinazowezekana.

wapo wajanja kama wachina na wahindi wakikukopesha watakubana kila kitu utoe kwao ni wakati na sisi kwa fedha tunazokopa African Development Bank, World Bank au fedha zetu za ndani au kwa wafadhili wasio na masharti tupange mikakati ya kuchukua baadhi ya fedha hizo zibaki kwetu kama fedha za kigeni.

kipofu ndiye anaweza kupiga mahesabu ya kwenda kuuza nje apate fedha za kigeni lakini anaiacha fedha iliyoko mikononi mwake ambayo ni ya kigeni anaitoa iende nje wakati angempa mtanzania ikaendelea kuwa mali ya watanzania.

tukiweka sheria za kuwalazimisha makampuni ya kigeni kuingia Joint venture na lovals katika jambo lolote wanalofanya nchini ni tactic kubwa sana ya kiuchumi.

3 Fursa ya tatu ni kuwarahisishia watanzania kupata huduma zitakazotokana na manufaa ya mradi husika ambazo ziko wazi kwa kila mtu kuziona bila kujali ni kipofu kwa kiasi gani. Yeyote anayewaza faida ya mradi kama namba hii tu huyo hana qualities za kuwa kiongozi bali asubiri kuongozwa kwa maana kuwa kiongozi ni kuona mbali zaidi ya unaowaongoza na kuwaelekeza katika kupata mafanikio zaidi.

kama tunataka maendeleo ni kuphase out old thinking.

viongozi wetu watueleze kama kwenye kandarasi hizi wamewezaje kuhakikisha wanasecure fursa zote zinazowezekana kwa watanzania na sometimes wenye kutaka kutudumaza zaidi huhangaika kutafuta ku justify upuuzi badala na kutafuta kujustify kuwa tunastahili kukosa fursa hizo badala ya ku strugle kusecure fursa hizo kwa watanzania.

tuwasikilize watueleze katika fedha wanazokopa AFD, WB na kwingine wanalindaje fursa zetu.

na kwa miradi yote wanalindaje fursa zetu.

kwa fedha zetu za ndani walindaje fursa zetu.
 
mkuu mambo mengine muwe mnaishia kutoa thesis zenu huko huko mnakosomea, alafu kama unaweza kunisaidia mradi gani wewe unaoujua hayo uliyoyasema uliya observe wewe mwenyewe, alafu ushauri kama huu ni vema mkawa mnatoa kabla miradi hii inafanyiwa survey,pia kaa ukifahamu miradi yote hii ni complex sana kwa nchi zote
 
Kila

Kila mradi unaanza na feasibility study,sasa wewe unatoa mvuke saa hizi wakati mradi unaanza utekelezaji. Haya mambo ni ya kitaalamu ambayo wewe hujui lolote !
 
We utakuwa sio mtanzania ,,haiwekani uje na hoja za kupinga maendeleo hata kwa vitu vinavyoo onekana wazi,,,ajira Rais kasema pale pale kuwa waajiriwe watanzania kwa asilimia kubwa,,kuhusu kampuni ya kitanzania kupewa kujenga ni kwamba ilitangazwa zabuni ndani na nje ya nchi na mwenye sifa ndo ameshinda na kupewa tender wewe ulitakaje kwa mfano ? Au unaongea tu kwa sababu una vinasaba vya unyumbu wa CDM ? Wakati mwingine kama hukubaliani na serikali piga kimya kula malimao ukisubiri kwa taaaabu 2020
 
mkuu mambo mengine muwe mnaishia kutoa thesis zenu huko huko mnakosomea, alafu kama unaweza kunisaidia mradi gani wewe unaoujua hayo uliyoyasema uliya observe wewe mwenyewe, alafu ushauri kama huu ni vema mkawa mnatoa kabla miradi hii inafanyiwa survey,pia kaa ukifahamu miradi yote hii ni complex sana kwa nchi zote
Vipi fursa ya kupiga videbe?
 
Wewe Ego vipi?Hii ni infrastructure,lazima tuipongeze Serikali kwa hili.Sipingi mawazo yako na mimi siyo mtaalam sana kwenye eneo hili ila Naomba tuipigie Serikali makofi- Pwaa pwaaa pwaaaaa.Daresalaam-Serikali ilikuja na mradi wa DART watu wakaupinga kwa kila aina ya kejeli mradi gani huo,mabasi ya kichina mabasi used,nk.Sasa hivi kwa wakazi wa Daresalaam DART ndiyo habari ya mjini,na kwa kweli yamesaidia sana usafiri kwenye jiji na hapa pia makofi mengine kwa Serikali pwaaa pwaaaaaa pwaaa.
 
Upo sahihi mleta mada, lazima tujifunze kupitia hawa wenye uzoefu, otherwise hatutafika, kila siku tutakuwa tunatoa tenders kwa wageni, watachukua fedha zote, wataajiri 100% experts toka kwao na mwisho tutabakia kulipa madeni+riba.
 
Acha ujinga na wewe.... Fikra za kimaendeleo atakuwanazo huyu bashite???

Unamuonea bure
 
Serikali ya kufokafoka iliyomteka msanii wa muziki wa kufokafoka baada ya viongozi povu kuwafoka.Nina rap tu jamani.Ni tungo tu.......
 
Samahni kwa kuleta mada tofauti ila mwenzenu nimezidiwa naomba msaada wa mawazo....NINASOMA KAMPALA CLINICAL OFFICER ILA CHUO KINA MADUDU NATAKA KUHAMIA CHUO CHA SERIKALI JE INAWEZEKANA NA KAMA INAWEZEKANA NAANZIA WAPI?
 
Back
Top Bottom