Ujenzi wa mgodi wa mfano wa uchimbaji madini na mtambo wa uchenjuaji dhahabu wakamilika

mamayoyo1

JF-Expert Member
Jul 25, 2018
1,011
1,019
Kukamilika kwa ujenzi wa Mgodi wa Mfano wa uchimbaji wa madini ya dhahabu na Mtambo wa uchenjuaji dhahabu kwa wachimbaji wadogo Lwamgasa,Geita.Mgodi huo utasaidia kutoa mafunzo ya namna bora ya uchimbaji na uchenjuaji wa dhahabu kwa wachimbaji wadogo
1553965275452.png
 
Kukamilika kwa ujenzi wa Mgodi wa Mfano wa uchimbaji wa madini ya dhahabu na Mtambo wa uchenjuaji dhahabu kwa wachimbaji wadogo Lwamgasa,Geita.Mgodi huo utasaidia kutoa mafunzo ya namna bora ya uchimbaji na uchenjuaji wa dhahabu kwa wachimbaji wadogo View attachment 1058291

Nani aliyejenga mgodi huo wa mfano? I see something serious in aligning small scale miners into main stream business.
Sasa tutalipa kodi hakuna namna. Ila hizo refinery kama zingewekwa maeneo yote yenye wachimbaji wadogo, zingesaidia kupunguza matumizi ya chemicals kama mercury kwenye usafishaji wa dhahabu
 
hongera sana umetoa ushauri mzuri,,NIMEUPENDA
 
Hivi zile kampuni 100 alizosema majaliwa zimeomba kujenga hiyo mitambo ya uchenjuaji ziliishia wapi?

Hii nchi Kuna watu wakizeeka watakuwa wachawi kabisa aiseee
 
Back
Top Bottom