Ujenzi wa Makao makuu ya EAC kuanza Arusha

Ngongo

JF-Expert Member
Sep 20, 2008
18,919
31,161
HATIMAYE ujenzi wa jengo jipya la Makao Makuu ya Jumuiya ya Afrika ya Mashariki, utakaogharimu Sh 30.2 bilioni unatarajiwa kuanza mwezi Septemba mwaka huu mjini hapa.

Akizungumzana waandishi wa habari jana, Afisa mwandamizi wa jumuiya hiyo na msimamizi wa ujenzi huo, Phil Makini Klerruu alisema ujenzi huo unatarajiwa kukamilika mwaka 2011.

Klerruu alisema, fedha za ujenzi wa jengo hilo ambalo litatosheleza idara zote na vitengo vyote vya jumuiya hiyo, zimetolewa na serikali ya Ujerumani.

Alisema katika jengo hilo, kutakuwa na kumbi za mikutano, ukumbi wa kisasa wa Bunge la Afrika Mashariki, ukumbi wa mahakama ya jumuiya hiyo na sehemu ya Secretarieti ya jumuiya hiyo.

"Katika ramani ya ujenzi wa jengo hili kutakuwa na eneo kubwa la kuegesha magari, eneo la chakula na ofisi za wabunge wote"alisema Klerruu.

Alisema tayari michoro yote ya jengo hilo imekamilika na imeridhiwa na jumuiya hiyo na sasa kinachosubiriwa na mkandarasi kupitishwa na kuanza kazi.

Alisema ujenzi wa jengo hilo, utapunguza gharama za matumizi ya kulipia pango jumuiya hiyo katika majengo mbali mbali likiwemo jengo la mkutano wa kimataifa(AICC)

ambapo sasa ndipo yalipo Makao Makuu yake.

Alisema katika jengo la AICC pekee jumuiya hiyo inalipa kwa mwezi dola za Marekani 4,050 kama pango na pia kuna majengo mengine ambayo yanalipwa kwa kukodisha vitengo vya jumuiya hiyo.

Msimamizi huyo wa ujenzi alisema eneo ambalo litajengwa ofisi hizo lina ukubwa wa hekta 9.8 na lipo jirani na jengo la AICC.
 
Lakini eneo lenyewe ni dogo, halitoshi. Watanzania hatupendi kutumuia fursa tulizonazo kikamilifu. Badala ya kutafuta eneo kubwa la ekari 100 hivi nje ya jiji la Arusha (Njiro hata Usa River) tumeamua jengo hilo lichomekwe upenuni kwa AICC! Leo hii wakija viongozi wawili tu Arusha, kunatokea traffic jam balaa! Shughuli zote Arusha zinasimama! Tujifunze kutoka kwa wenzetu - Wakenya walipopata opportunity ya kutoa eneo la UNEP, hawakutoa eneo nyuma ya Hilton au Kenyatta Conference Centre, wakapeleka nje ya jiji! Sijui tuna tatizo gani sisi Watz! Ama kweli, WIZI MTUPU!
 
ILI ARUSHA IWE MAKAO MAKUU YA EAC YA UKWELI!!!
Arusha ni mji unaokuwa kwa kasi kubwa... lakini tatizo lipo katika Miundo mbinu... Barabara kuu ni mbili yaani ile ya Uhuru (Sokoine) na ya Moshi-Arusha... Baaasi sasa siwaelewi viongozi wa Arusha Municipal pamoja na Madiwani wakiwa pamoja na meya wa mji wanalichuliaje suala hili kwani tofauti na miji mingine... Mji wa Arusha ni mmoja ya miji ambayo imezungukwa na wenyeji upande wa Kasikazini pamoja na mashariki... wa makabila ya(Waarusha na Wameru)ambao ni wakulima wadogo wadogo na wamepanda mazao ya kudumu Mibuni (Kahawa)nk. Upande wa magharibi kuna Mashamba makubwa ya Kahawa na kusini kuna Maasai plains... kwa muda sasa kumeachwa watu wamejenga kiholela mfano maeneo ya Sakina ya juu kuna mchanganyiko wa Slums na majengo ya kuvutia yakiwemo Mahoteli,Bar,Karakana nk.

Wito wangu ikiwezekana eneo la yale Mashamba ya Burka mpaka Selian kusafishwe na kujengwe satelite city na wakati huo huo Maeneo ya Kijenge,Sakina ya juu,Unga limited Ngarenaro,Kijenge ya juu ya chini,Moivaro, kupimwe upya slums ziondolewe... na ikiwezekana watu wasio na uwezo wa kujenga nyumba za maana wapewe plot maeneo ya Kisongo au oldonyo sambu nawasilisha
Mdau
Tusker Bariiiidi!!!!
 
Lakini eneo lenyewe ni dogo, halitoshi. Watanzania hatupendi kutumuia fursa tulizonazo kikamilifu. Badala ya kutafuta eneo kubwa la ekari 100 hivi nje ya jiji la Arusha (Njiro hata Usa River) tumeamua jengo hilo lichomekwe upenuni kwa AICC! Leo hii wakija viongozi wawili tu Arusha, kunatokea traffic jam balaa! Shughuli zote Arusha zinasimama! Tujifunze kutoka kwa wenzetu - Wakenya walipopata opportunity ya kutoa eneo la UNEP, hawakutoa eneo nyuma ya Hilton au Kenyatta Conference Centre, wakapeleka nje ya jiji! Sijui tuna tatizo gani sisi Watz! Ama kweli, WIZI MTUPU!

mkuu Fataki heshima mbele.

Nakubaliana na wewe kwa 101%,niliwahi kusikia ujenzi wa makao makuu EAC ulikuwa ufanyike maeneo ya Usa river tena pale kuna eneo kubwa la zaidi ya eka 100.sipati picha ni kwanini wateule wetu waliamua makao makuu yawe karibu kabisa na AICC eneo la eka 9.

Arusha ina maeneo mengi makubwa ambayo yangeweza kutumika kwaajili ya ujenzi lakini kama wachangiaji wengine walivyosema nchi yetu haina viongozi wenye vision.

Kujenga makao makuu ya EAC jirani kabisa na AICC kwa maoni yangu kutazidi kuongeza usumbufu wa msongamano wa magari.Eneo la eka 9.8 ni dogo sana hasa tukizingatia EAC itapanuka kwa nchi nyingine kujiunga pamoja shughuli za shirikisho zinazotarajiwa kuongezeka.
 
Kumbe kama hela za minara miwili ya BOT zingeweza kujenga majengo kama zaidi ya 20! Serikali yetu ni tajiri kweli kweli.

Nikweli kuwa tumekuwa sio wepesi wa kupenda mabadiliko kwa kutoruhusu miji yetu kukuwa. Kwa sasa Arusha nayo tayari imesimama kama jiji la Dar salaam lilivyosimama kutokana na shughulu zote kuwa ndani ya jiji.

Kwa jiographia ya Arusha sehemu ya mashariki na kaskazini ya jiji ndizo zenye mvua nyingi na ambazo hutumika kwa kilimo. Upande wa magharibu kuelekea njia ya minjingu babati na karatu, kuna eneo kubwa ambalo kwa kiasi kikubwa ni kame na shughuli zinazofanyika ni chache sana, nakumbuka miaka ya 1990 nilipokuwa Arusha. Ingekuwa vyema kuendeleza mji wa kisasa eneo hilo na bila shaka hata ofisi za EAC kama zingekuwa nadhani ingekuwa bomba tu! Tatizo letu waTanzania ni kuwa tunafikiria ile miundombinu iliyoachwa na wakoloni tu. Nyumba za wakubwa zipo maeneo ya AICC na Njiro. Eneo la kuelekea monjingu pia lipo kwenye barabara kuu ambayo nadani ndio Cairo-Cape Town, kwa mtizamo wangu ingekuwa fursa bomba.
 
Muendelezo..............
ILI ARUSHA IWE MAKAO MAKUU YA EAC YA UKWELI!!!

Mimi nilikulia Arusha miaka ya 1985 hadi 1993... Angalau !!!(baada ya hapo nimekuwa nikitembelea Arusha mara moja moja hadi 2002... baada ya miaka takribani saba (7) yaani juzi Mid Feb kidogo nizimie kwa kukuta miundo mbinu ya enzi zileeeee... zaidi zaidi kuna majengo ya Glass (naita ya glass) mfano lile lililopo karibu na taa za barabarani (Robots) naziita (za kiini macho) Sanawari... lile jengo ni hotel... nasikitika kusema lipo chini ya kiwango utafikiri (KIMONDO KIREFU)kimeanguka... HATARI KWELI KWELI... Haya kuna jingine lipo pembeni ya Golden Rose.... lipo katika ujenzi bado... kwa wasi wasi niliokuwa nao kwamba litaanguka muda wowote nilihesabu ghorofa(storey) za jengo hilo zilikuwa zaidi ya 12... Eeeh Mungu baba wanusuru watu wakaao/pitao karibu na jengo hilo ....hiviii Arusha fathers mmelala?????????????????????
Kwa uchungu mkubwa nadhani umefika wakati wa wananchi wa Arusha wakao ndani ya Mji ya Arusha kusema "ENOUGH IS ENOUGH" .... Wito wangu kama mnaona kuhamisha watu,mashamba yaliozunguka mji huu nilioupenda sana miaka ya nyuma NI GHARAMA!!!...

WAY FORWARD...
Arusha town/slum ina bahati ya kuwa karibu sana na mji wa Monduli... kwa kweli nakiri tangu niutembelee mwaka 1993 mpaka juuuziiii bado ni sleepy town... zaidi ya Lami na shule za Engutoto,Maasai Girls pamoja na miradi kadhaa.( Ahsante sana EL na bado tutaendelea kukushukuru).. nakiri kusema mabadiliko ni madogo... sasa basi (KWA HERUFI KUBWA) ukifika Kisongo kuna njia inayochepuka kulia ambayo inafuatana na nguzo za umeme kuelekea Monduli kwanini isijengwe ili kurahisisha mawasiliano badala ya ile ya kupitia kambi ya jeshi ... TMA na 15?????? halafu lets say pale Monduli kunajengwa SATELITE CITY/ EAC Hq???? Hali ya hewa ni nzuri sana kuna ubaridi kama wa Arusha nadhani itakuwa njia nafuu... ITAENDELEA MPAKA KIELEWEKE!!!!
 
Mbona makao makuu ya UN yako city Center? Na shida ya kupark magari pale kila mtu anaijua na imeshawahi kusmewa sanasana juu mabalozi kupark magari popote pale watakapo na kwa sababu wanalindwa na sheria wakawa haiwezekani kuwaadhabu.

Sijui kama lilikuwa wazo la Tanzania au JUMUIA kwa ujumla. Kumbuka kama jumuiya, si kila kitu unajiamulia wewe. Inaweza pia kuwa shida ya usafiri kutoka mahotelini amabayo mengi yako mjini. Labda kuna haja ya kuvunja barabara nyingi na kuzipanua mapema kabla hayajajengwa majengo makubwa na hapo ghalama za kulipia ziwe kubwa pia.

Naona Wajeruman wanarudi tena Arusha. Walitujengea Technical College Arusha na sasa kitu kingine. Safi sana , au tuseme Danke-sheni (Dutch is not reachable).
Ukiangalia kwenye GOOGLE EARTH, kuna kaeneo kakubwa tu hadi huku mahakama kuu. Ila inabidi vunja vunja ipite. Wanaweza kuchukua hadi barabarani (Nairobi road). Kutoka hapo kuja huku Arusha hotel kuna mahotel kibao na hiyo inaweza saidia kupunguza msululu wa magari kwani wengine watakuwa wanatembea tu kwenda hotelini.
 
Kenya: Stop EAC complex project
By Zephania Ubwani, Arusha

Kenya wants the construction of the new East Africa Community headquarters in Arusha to be suspended.

Senior officials of the EAC secretariat have confirmed that Kenya has presented its case calling for the construction of the ultra-modern office complex to be put on hold.

Kenya, according to credible sources within the secretariat, was not happy with the pace of negotiations on the EAC Common Market Protocol, and blames Tanzania for the delay in concluding the talks.

The sources said the country's request was formally tabled during the ordinary meeting of EAC Council of Ministers held in Arusha on Friday.

The request, which appeared to have taken Tanzanian officials by surprise, was made shortly before President Paul Kagame of Rwanda addressed the East African Legislative Assembly.

Kenyan officials, led by the minister for East Africa Cooperation, Mr Jeffah Kingi, had asked that the planned construction of the EAC ultra-modern headquarters in Arusha be delayed.

"They said the plans should be shelved until Tanzania was seen to be fully committed to regional integration matters, and that failure to demonstrate its commitment would make the country unfit to host the EAC headquarters."

Sources familiar with what transpired during the meeting said Kenya had been accusing Tanzania of dragging its feet on negotiations for the EAC Common Market Protocol.

The proposal to delay the construction of a new EAC office complex was tabled before the EAC Council of Ministers � the policy organ of the regional bloc � by Mr Kingi.

Sources said the Tanzanian delegation was caught off guard, but argued that the construction of the headquarters could not be suspended as the EAC Treaty clearly stipulated that Arusha was the seat of the EAC secretariat.

The matter is said to have dominated the meeting with Rwanda reportedly supporting Kenya's position, and Uganda and Burundi appearing to be neutral.

Kenyan officials are reported to have said that Tanzania had not demonstrated its "full commitment" to the EAC integration process.

"What we are seeing is the host country of the EAC headquarters going against many protocols agreed upon by all of us," one Kenyan official was heard lamenting in a monitored exchange with other delegates after the closed-door session.

The official said his delegation had called for the construction of the new EAC complex estimated to cost about 14 million euros (about Sh24 billion) to be delayed. The project is scheduled to commence in September, this year.

The regional organisation currently has its headquarters at the Arusha International Conference Centre, which also served as the headquarters of the former EAC, which collapsed in 1977.

The German government has agreed to provide funds for the construction of the complex, which will save the EAC $450,000 (Sh600 million) in monthly rent paid to the AICC.

Officials at the EAC secretariat who were approached for comment indicated that the matter raised by the Kenyan delegation was likely to be forwarded to the EAC Heads of State Summit because of its �sensitivity."

Tanzanian officials are reported to have maintained that the treaty that established EAC had designated the northern Tanzanian town as the headquarters of the regional bloc.

But Kenyan officials and other delegates supporting them insisted that the treaty could as well be amended to suit the region's interest of the day, as had been the case for other issues in recent years. Rwanda was cited as one of the countries that welcomed the proposal.

There was no immediate information on the reaction of the Tanzanian delegation to the suggestion which, if accepted, could deal a blow to Arusha, which has served as the EAC headquarters since the 1960s.

Neither EAC secretary-general Juma Mapachu nor the minister for East African Cooperation, Dr Diodorus Kamala, could be reached yesterday for comment.

Other officials, however, played down the suggestions, saying the matter revolved more around the Common Market negotiations than Arusha as the EAC seat.

When he addressed the EALA on Friday afternoon in his capacity as the chairperson of the EAC Heads of State Summit, President Kagame decried the slow pace in establishing a common market in the region, and called for measures to address the stumbling blocks.

"This is the time for bold steps not only in terms of resolving these outstanding matters that are obstructing the Common Market, but also require us to execute critical decisions we have already made," Mr Kagame said.

The eighth round Common Market Protocol negotiations are expected to commence in Bujumbura, Burundi, today. Tentatively the draft protocol should be ready next April after it was delayed from December last year. Seven negotiation sessions have been held.

The last session of the negotiations ended in Kisumu, Kenya, early this year during which Tanzania was put on the spot for its reservations on some clauses envisaged in the Protocol.

Tanzania, the largest country in size and population has opposed clauses that largely dwell on movement of people and labour services, right of residency and access of its land by non-citizens.

Kenya and Rwanda in particular, have been pressing for a change in the Treaty that established the Community so that key decisions can be adopted if supported by a majority of the member countries.

Under the current EAC Treaty no major decision on regional integration issues can be made without the consent of all the member states. Tanzania, Uganda, Kenya, Burundi and Rwanda make up the regional bloc.

Tanzania which has been particularly uncomfortable with the land issues has repeatedly said it was still "studying the situation" and has denied that it was not against the ongoing negotiations or the anticipated benefits from enhanced economic integration within EA.

"We are in the negotiation process. It could be unfair to say that my country is delaying the envisaged Common Market", Mr Uledi Mussa, the head of the country's delegation to the last round of talks in Kisumu, was quoted then as saying.

Kenya's East African Cooperation minister Jeffah Kingi has been vocal that Tanzania was dragging its feet in the integration process and has spearheaded a campaign to have major decisions made without the consent of the neighbouring country.

Tanzanian politicians led by Dr Kamala, on the other hand, have said the country would not be rushed over major decisions that could impact negatively on its own people. The minister has also denied that the country was backtracking on its commitments to the EAC.
Source: TheCitizen Newspaper
 
Mchakato wa ujenzi wa makao makuu ya EAC Mjini Arusha husichanganywe na masuala ya Common Market Protocol,haya ni mambo mawili tofauti.Kenya wasitake kulazimisha Tanzania kukubaliana na mambo wanayoyata wao na ujenzi wa makaoa makuu ya EAC.Wanasiasa wa Kenya tangu mwanzo walikuwa na ajenda ya kujinufaisha na ardhi ya Tanzania,walifikiri tumelala kumbe hii si hile Tanzania ya mwaka 1977.
Tanzania inatakiwa kushikilia msimamo wake tena tunapaswa kuwa wakali sana kwa Kenya kwa kutaka kuyumbisha mchakato wa ujenzi wa makao makuu EAC kwa hoja dhaifu.
 
Tanzania inapaswa kufanya yafuatayo ili kukomesha baadhi ya wanachama wenyen ajenda mbaya na EAC.

(1) Kufunga mpaka na nchi za Kenya na Rwanda.

(2) Kuwafukuza raia wa Kenya na Rwanda waishio Tanzania.

(3) kuwarejesha nyumbani mabalozi wa Kenya na Rwanda kwa muda usiojulikana.

(4) Kuzuia kwa asilimia 100 % usafirishaji wa chakula nchini Kenya.

(5) Kuwarejesha nyumbani wakimbizi wote wa Rwanda hata wale waliopewa uraia kuanzaia miaka 10 nyuma.

(6) Tanzania isisitize mawaziri Kenya na Rwanda wanaoshughulikia EAC wabadilishwe mara moja.

(7) Tanzania ianze kufikiria uhusiano wa kiuchumi na nchi za Kongo,Msumbiji,Zambia na Malawi
 
Kabonde,

Kufunga mipaka na kuita mablozi ni kwenda mbali sana!

1977 Kenya walichekelea wakati jumuia ilipovunjika..leo hii wanataka tuende fasta fasta!

Kenya wamezoea kuburuza may be Somalia..ila sii Tz sisi tumeshaona Kenya wanataka zaidi masoko na ardhi! Na Rwanda pia wana shida kubwa ya ardhi!

Wazituburuze..tuende tu taratibu..kwani tunakimbilia wapi?
 
2009-03-02 07:49:00

Kenya: Stop EAC complex project
By Zephania Ubwani, Arusha
THE CITIZEN

Kenya wants the construction of the new East Africa Community headquarters in Arusha to be suspended.

Senior officials of the EAC secretariat have confirmed that Kenya has presented its case calling for the construction of the ultra-modern office complex to be put on hold.

Kenya, according to credible sources within the secretariat, was not happy with the pace of negotiations on the EAC Common Market Protocol, and blames Tanzania for the delay in concluding the talks.

The sources said the country's request was formally tabled during the ordinary meeting of EAC Council of Ministers held in Arusha on Friday.

The request, which appeared to have taken Tanzanian officials by surprise, was made shortly before President Paul Kagame of Rwanda addressed the East African Legislative Assembly.

Kenyan officials, led by the minister for East Africa Cooperation, Mr Jeffah Kingi, had asked that the planned construction of the EAC ultra-modern headquarters in Arusha be delayed.

"They said the plans should be shelved until Tanzania was seen to be fully committed to regional integration matters, and that failure to demonstrate its commitment would make the country unfit to host the EAC headquarters."

Sources familiar with what transpired during the meeting said Kenya had been accusing Tanzania of dragging its feet on negotiations for the EAC Common Market Protocol.

The proposal to delay the construction of a new EAC office complex was tabled before the EAC Council of Ministers ? the policy organ of the regional bloc ? by Mr Kingi.

Sources said the Tanzanian delegation was caught off guard, but argued that the construction of the headquarters could not be suspended as the EAC Treaty clearly stipulated that Arusha was the seat of the EAC secretariat.

The matter is said to have dominated the meeting with Rwanda reportedly supporting Kenya's position, and Uganda and Burundi appearing to be neutral.

Kenyan officials are reported to have said that Tanzania had not demonstrated its "full commitment" to the EAC integration process.

"What we are seeing is the host country of the EAC headquarters going against many protocols agreed upon by all of us," one Kenyan official was heard lamenting in a monitored exchange with other delegates after the closed-door session.

The official said his delegation had called for the construction of the new EAC complex estimated to cost about 14 million euros (about Sh24 billion) to be delayed. The project is scheduled to commence in September, this year.

The regional organisation currently has its headquarters at the Arusha International Conference Centre, which also served as the headquarters of the former EAC, which collapsed in 1977.

The German government has agreed to provide funds for the construction of the complex, which will save the EAC $450,000 (Sh600 million) in monthly rent paid to the AICC.

Officials at the EAC secretariat who were approached for comment indicated that the matter raised by the Kenyan delegation was likely to be forwarded to the EAC Heads of State Summit because of its ?sensitivity."

Tanzanian officials are reported to have maintained that the treaty that established EAC had designated the northern Tanzanian town as the headquarters of the regional bloc.

But Kenyan officials and other delegates supporting them insisted that the treaty could as well be amended to suit the region's interest of the day, as had been the case for other issues in recent years. Rwanda was cited as one of the countries that welcomed the proposal.

There was no immediate information on the reaction of the Tanzanian delegation to the suggestion which, if accepted, could deal a blow to Arusha, which has served as the EAC headquarters since the 1960s.

Neither EAC secretary-general Juma Mapachu nor the minister for East African Cooperation, Dr Diodorus Kamala, could be reached yesterday for comment.

Other officials, however, played down the suggestions, saying the matter revolved more around the Common Market negotiations than Arusha as the EAC seat.

When he addressed the EALA on Friday afternoon in his capacity as the chairperson of the EAC Heads of State Summit, President Kagame decried the slow pace in establishing a common market in the region, and called for measures to address the stumbling blocks.

"This is the time for bold steps not only in terms of resolving these outstanding matters that are obstructing the Common Market, but also require us to execute critical decisions we have already made," Mr Kagame said.

The eighth round Common Market Protocol negotiations are expected to commence in Bujumbura, Burundi, today. Tentatively the draft protocol should be ready next April after it was delayed from December last year. Seven negotiation sessions have been held.

The last session of the negotiations ended in Kisumu, Kenya, early this year during which Tanzania was put on the spot for its reservations on some clauses envisaged in the Protocol.

Tanzania, the largest country in size and population has opposed clauses that largely dwell on movement of people and labour services, right of residency and access of its land by non-citizens.

Kenya and Rwanda in particular, have been pressing for a change in the Treaty that established the Community so that key decisions can be adopted if supported by a majority of the member countries.

Under the current EAC Treaty no major decision on regional integration issues can be made without the consent of all the member states. Tanzania, Uganda, Kenya, Burundi and Rwanda make up the regional bloc.

Tanzania which has been particularly uncomfortable with the land issues has repeatedly said it was still "studying the situation" and has denied that it was not against the ongoing negotiations or the anticipated benefits from enhanced economic integration within EA.

"We are in the negotiation process. It could be unfair to say that my country is delaying the envisaged Common Market", Mr Uledi Mussa, the head of the country's delegation to the last round of talks in Kisumu, was quoted then as saying.

Kenya's East African Cooperation minister Jeffah Kingi has been vocal that Tanzania was dragging its feet in the integration process and has spearheaded a campaign to have major decisions made without the consent of the neighbouring country.

Tanzanian politicians led by Dr Kamala, on the other hand, have said the country would not be rushed over major decisions that could impact negatively on its own people. The minister has also denied that the country was backtracking on its commitments to the EAC.
 
Sasa kama hatuwezi kuwa rushed katika masuala ya Jumuiya ya Afrika mashariki kuna sababu gani ya ukwa rushed kujenga makao makuu ambayo huenda yasitumike?
 
Mimi sita washu tumu wakenya bali niwashutumu Vionngozi wetu ambao wameshindwa kuweka strategy ya nchi katika kuingia kwenye jumui hiyo nakuona tuna fanikiwa.
Tatizo la Tanzania tunapenda kujilinda kwenye vitu fulani fulani kwa kutumia maguvu, badala ya utaalamu, eg tatizo kubwa la tanzania ni kufanywa soko la bidha za kenya , solution , kuwekeza kwenye viwanda vitakavyo toa ushindani kwa bidha za kenya. tuna ardhi nzuri na vitu vingi vipo favourable kwetu ila strategy tu ndio tuna miss. Eg recently kulikuwa na issue ya maziwa raw kwenda kenya, solution ni sisi kuwa na kiwanda kitakacho process hayo maziwa, na kama kuna mtu aliuziwa kwa masharti ya psrc, kama ameshindwa anyanganywe, au afanye kile nchi ilimtarajia kufanya. Kuhusu ardhi na masdhamba makubwa ni kuwekeana mkataba na mzalishaji yoyote iwe 5 years etc , na the product iwe process kwetu, kuliko kutumia maguvu kulinda misitu isiyo tumika, running with time tataikuta si yetu, the reality will catch up with us. Nyerere aliona tatizo la Watanzania ni uwezo etc ndio maana alianzisha mashirika ya umma ili tuweze kujifundisha na kushikilia mihimilla ya uchumi wetu, watu waka muona mshamba, na haendani na reality, leo hii tupo wapi? Hata hili la labour, solution ni ku-train watu wetu ili waweze kuingia katika hilo soko, sasa si wenyewe tunajimaliza kwa ufisadi usio na maendeleo, kujenga shule mbovu mbovu, kutokuwa na umeme vijijini , hivyo kupoteaza muda mwingi wa production kutafuta kuni, watoto vijijini hawa somi vizuri, kwa kukosa umeme , walimu fake etc etc
 
Huyu waziri wa kenya alienda mbali zaiidi akataka makao makuu ya eac yajengwe nairobi kenya, waziri jingi inasemekana ana vested interest in tanzania baada ya kunyimwa hakta 10,000 za ardhi alizotaka tanzania

someni mtanzania jana jumapili, front page , na leo jumatatu maoni ya mhariri
 
Lakini Mwaikimbi ndugu yangu solution ya ardhi tanzania ni nini? kuwa na Mapori au tuitumie ili huyo mkenya / mganda/mrwanda akija kuomba atukute tunaitumia. Solution ni kuitumia, so how can we do that, ni kuwamilikisha watu kwa masharti, kama hatuwezi tuwape JKT, si si wengine tuwe manamba kule, mpaka pale tutakapo kuwa na akili ya kujiongoza. Conttrary to that, unaweza kumkodisha huyo mkenya etc kwa muda, kwa sababu ardhi ni mali ya serikali. hapa tunatakiwa tutumie mbinu endelevu, sio tuna ngangania tu wakati uwezo etc hatuna
 
wakenya wana wazimu

je kama ingekuwa hiyo HQ ya EAC inajengwa Nairobi au Kisumu wangeobject?
 
Why not stop the whole thing, seriously, if there isn't a certain level of trust, why get into this EAC thing at all?

Ni kama unaingia katika ndoa na mwenzako wakati hamuaminiani, whats the point? Mnajua mtaishia katika talaka tu, sasa mnajisumbua nini na ndoa?
 
Kiranga
Ndoa ya kinguvunguvu ndugu yangu ..ndo wengine wanasema kabla ya hii ndoa wanandoa wakapime kwanza afya zao!

Kenya wanasema tuoane tu fasta fasta!

Hamuoni kuna walakini hapo?
 
Last edited:
Back
Top Bottom