Maeneo ambayo ujenzi wa madarasa unafanywa na wakandarasi miradi hii inasuasua sana, sehemu nyingi mpaka sasa wanachimba misingi wakati wale waliotumia force accounts miradi ikiwa ipo kwenye hatua nzuri. Nimeongea na mtu kule Tarime ambapo walipewa wakandarasi maeneo mengi yapo kwenye msingi huku huku tarehe ya mwisho ya kukabidhi majengo hayo ikiwa tarehe 15/12.
Lakini serikali inapaswa kuwa makini na hawa wakandarasi wanaojenga madarasa haya, kwenye force account vifaa vinanunuliwa na kamati ya shule ikishirikiana na watu wa halmashauri na vifaa hivyo kabla ya kuanza kazi hukaguliwa, vifaa vinanunuliwa kwa makadirio ya Mkandarasi na ofisi ya manunuzi hivyo local fundi anakuwa uhuru wa kutumia materials kama ilivyoelekezwa kwenye BOQ tofauti na hawa wakandarasi ambao watajenga haya madarasa chini ya kiwango na kubania materials.
Tutegemee baada ya miaka 3~5 madarasa yaliyojengwa na wakandarasi kugeuka magofu na kuacha kutumika, maana wale wanataka faida na sio ubora.