ujenzi wa kiwanja cha ndege kenya karibu na border ya TZ kule tarakea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ujenzi wa kiwanja cha ndege kenya karibu na border ya TZ kule tarakea

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Njowepo, Aug 4, 2011.

 1. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Waziri Nundu kasema walituma watu kwenda uliza kenya,wakasema hawana mpango wa kujenga kitu kama icho.
  Kuna post umu iliwekwa on the same issue isije ikawa hawa Wakenya wanataka kutuzunguka
  Source:bungeni17:55hrs eat leo
   
Loading...