Ujenzi wa kambi katika mazalia ya simba serengeti:- | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujenzi wa kambi katika mazalia ya simba serengeti:-

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by kamkoda, Oct 24, 2012.

 1. k

  kamkoda JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 20, 2012
  Messages: 396
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kuna Kampuni mmoja ya Muingereza imejenga kambi kubwa huko Lamai Serengeti katika mawe ambayo ni mazalia ya simba. Katika hali ya kawada hili halikubaliki kabisa kihifadhi, Je kuna mchezxo mchafu umefanyika? watu wa fani za utalii mwageni data...nasikia makampuni mengi yameanza kujenga sasa hivi, hivi kweli simba hao watakaa kweli?
   
 2. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Tunaomba habari zaidi ili tuwashukie kwa fujo.
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  kampuni inaitwaje....na ninavyoelewa huwezi piga kambi mahali bila kibali cha tanapa.....je ni permanent camp au mobile....?
   
 4. k

  kamkoda JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 20, 2012
  Messages: 396
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Permanent!.... nakuna wafanyakazi zaidi ya 70
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  mkuu....kampuni haina jina....?
   
Loading...