Rais Samia Suluhu aongeza bajeti kwa asilimia 230 Ujenzi wa JN-HPP

Kama kweli hayo usemayo basi Takukuru wamchunguze ametoa wapi hela zote hizo!!!
Kama nikodi zetu na bunge limeidhinisha ziende Jnhpp basi heko kwetu sote watz na tujiombee mema zaidi!!
Mletahoja tuliza kujipendekeza kisho... utajatafunwa kibo...!!
Nimekwambia mara nyingi wazalendo uchwara walikuwa wezi,pesa ni za bajeti kama kawa ila Kiongozi wa wazalendo anajua alikokuwa anapeleka fedha.

Ukiwachunguza wale wazalendo utaona jinsi walivyojitajirisha.
 
Ni kweli naona na kibaraka February Marope ameshaanza kujipendekeza kwa wanaume wa USA na Uholanzi ili waje kufanya upumbavu uliomtoa Lowassa kwenye kiti mnamo mwaka 2007!

Wacha tuendelee kutafuna popcorn taratibu! Dowans & Richmond Season 2 iko njiani!
Upumbavu gani,uweke hapa.We Maskini usipojipendekeza utakula mchanga?
 
Wahenga walisema, "kuishi karibu na bahari au mto, siyo kujua kupiga mbizi"

Ona sasa zaidi ya miaka 60 ya uhuru tunajifariji tu kuwa TZ ina rasilimali tele, kumbe ni changa la macho tu kwa wanyonge lakini wanaokula keki ya nchi ni 0.001%.....
Kwa kukosa kwao akili na maarifa,wanazaliwa maskini wanakufa maskini bali huku wakijifariji Wana rasilimali tele,huu ni ujinga Sana .
 
Samia sio pesa zake na wala hana mamlaka ya kutoa pesa. Sema tulitawaliwa na punguani na mshamba akawa anaona kila kitu ni chake. Hii kauli ya Rais katoa Fedha sio nzuri kabisa. Pesa ni za umma sio zake.
 
Serikali ya Rais Samia imetoa pesa,unateseka ukiwa sehemu gani mkuu?
 
Ujenzi wa JNHPP na Usambazaji wa umeme Rais Samia aongeza bajeti kwa 230% kutoka TZS 1.01T FY2020|22 hadi TZS 2.34T FY2021|22 mnaoshangaa endeleeni kushangaa,​

" Hakuna kama Samia "​

Lengo la Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan ifikapo mwaka 2026 Tanzania iwe na umeme wa Uhakika unaofikia Jumla ya 5,000MW hapa anamaanisha tunakwenda kuwa electricity donor country hakika Watanzania kesho yetu ni bora sana kuliko leo,

Sote tunafahamu mahitaji ya Umeme Tanzania yanaongezeka siku hata siku kwa mfano mwaka 2020 mahitaji ya Umeme yalikuwa 1,151.66MW lakini hadi kufikia mwezi May 2021 mahitaji ya Umeme yalifikia 1,183.28MW sawa na ongezeko la 3% kwa mwaka. Lakini pia, kwa mwaka huku umeme wetu umetajwa kuwa ndio umeme wenye bei chee zaidi African ya Mashariki kwani tunauuza kwa $0.099/KWh,Kwahakika Tanzania ya Rais Samia ni raha sana natutegemee bei hii kushuka zaidi baada ya JNHPP kukamilika,

Faida ya mradi huu sio umeme tu hata kutekeleza Ilani ya CCM 2020|25 yakuzalisha ajira 8M kwani tayari mradi huu pia umeajiri Jumla ya wafanyakazi 7,243 huku wazawa wakiwa ni 6,452 na wageni ni 791,Mradi huu utakapokamilika unatarajiwa kuzalisha Jumla ya MW 2,115 kamwe tusiache kumwomba Mungu,

Mpaka Rais Samia Suluhu Hassan anaingia madarakani ni 38% tu ya fedha zote za mradi huu wa Tshs 6.55trilioni ndio zilikuwa zimelipwa kwa mkandarasi ambayo jumla yake ni Tshs 2.495trilioni sawa na Pungufu ya Tshs 4.055trilioni, Hii ni sawa na kusema Rais Samia Suluhu Hassan hadi mwisho wa mradi huu atakuwa ameujenga mradi kwa 62%,Hakika Mama huyu anastahili pongezi sana kwa kiwango hiki cha kizalendo kwa nchi yake,

Zikiwa zimesalia miezi kumi ( 10 ) tu kumalizika kwa mkataba huu Rais Samia Suluhu Hassan kupitia bajeti yake hii ya kwanza tayari ameshatenga 58% ya deni lote lililosalia kwani ametoa Tshs 2.34trilioni kwaajili ya usambazaji wa umeme na ukamilishaji wa mradi huu wa JNHPP,Pesa hii ni sawa na pesa yote iliyotolewa tangu kuanza kwa mradi huu wa JNHPP,Unaweza kusema "Bajeti moja ya Rais Samia kwenye usambazaji wa umeme na ujenzi wa JNHPP ni sawa na bajeti zote zilizotolewa kujenga JNHPP tangu ianze May 2019 " Watanzania,Kama kuna mtu wa kuombewa kwa nguvu kubwa kwa sasa basi ni Rais Samia Suluhu Hassan

...........KAZIIENDELEE.........

Wewe kwa kumsifia ni zaidi ya toilet paper
 
Acha bangi mkuu, anajenga mama samia au sisi wananchi? Hizi kodi jumlisha tozo unafikiri masihara?
 
Mkuu Samia ni Chief budget advisor wa Taifa

Yeye ndio mwenye Ilani ya 2020|25

Yeye ndio mtamuhoji Oct 2025

Rais kabeba dhamana kubwa sana ya nchi
 
Duniani kote FEDHA ZA NCHI ni Kodi ya wananchi....iwe nchi zenye Vita na machafuko Kama Somalia , Ethiopia na Eritrea.....

Mathalani nchini DRC kumekuwa na maendeleo haba ya ujenzi wa barabara zinazounganisha mikoa yao pamoja na utajiri mkubwa wa MADINI GHALI...hapa umekosekana UTASHI WA KISIASA...UTASHI WA KIUTAWALA......
Sifaham profession yako wala level yako ya elimu, whatever your education and profession you'r, haijawahi kukusaidia kwa upande huu. Serikali ndio inatoa fedha, sio rais, ni SERIKALI ( google maana ya rais na maana ya serikali ujue).

Mnaposema Rais amefanya hiki, rais amefanya kile, mara wengine wanamshukuru rais eti kwa kujenga mf hospitali, huku ni ku - politicise shughuli za serikali, ni propaganda za kipumbavu sana.

There is time to come such rubish politics wont be there and some may be called to sentence.
 
Unazunguka....
Unazunguka kwa FALSAFA nyingi.....

Hoja ni moja tu....

Does the government delivers?!!!

Does the government cater for social services?!!!

Hoja ya kuwepo mapambio ama kutokuwepo haisaidii WALAJI......

Serikali ya awamu ya 6 imepokea TRILIONI 1.3 kutoka IMF kujenga vyuo 72 vya VETA na mengineyo.....

Tunasubiri UTASHI WA SERIKALI kuzitumia hizo fedha kulikokusudiwa......

Na Kama kuusifu utashi mzuri wa serikali kunakuudhi...Sawa....IT'S YOU mkuu .....

#SiempreSSH
 
Back
Top Bottom