Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa wilaya ya Chato mkoani Geita

Hakuna wivu kwenye kutumia pesa za walipa kodi bila kufuata utaratibu husika. Bunge lipo kwa kazi maalum kama uchwara analidharau basi alivunje tu ili aendelee kuchota atakavyo.

Tuache wivu jamani..hahhhahaha
 
Ma-consultant wote wa serikali, halafu Chato ina watu kiasi gani hadi ijengewe hospitali ya rufaa? Hivi ni vituko na kuchezea pesa za walipa kodi, kuna mikoa na wilaya ambazo hasa zinahitaji na zinastahili kuwa na hospitali ya rufaa..., wabunge wako kimya tu!
Hivi Kilimanjaro ina watu wangapi kustahili kuwa na shule nyingi za sekondari kama ilivyo sasa?
 
Referral? How? For who? Sijaelewa itapokea rufaa za wapi, Geita? Ushirombo au Bihalamuro? I am confused!

Naombeni hatua za kupata uraia wa Kenya au Zambia!
Hivi hizo zingine zilizopo zinatokea rufaa za wapi? Mtu akiumwa pale geita rufaa yake ni wapi?
 
Referral tena! Du, basi sawa.

Wapiganaji wa uvccm mbona kimya kutetea? Njooni bwana, sio sawa kuacha Chato inachafuliwa kwenye uzi huku, please come
Niliwasikia wabunge wakisema badala ya kujenga uwanja wa ndege Chato ni vyema wangejenga Hospitali kubwa kutibu wananchi. Sasa unajengwa uwanja na Hospitali kubwa lakini watu wanapiga tena mayowe!!
 
Tundu Lissu alisema Msajili wa Hazina au Katibu Mkuu wizara ya Fedha (sina hakika kati ya hawa) amewekwa mtoto wa dada yake Magufuli makusudi ile asiwe ana question maagizo ya kutoa hela.

Jakay Kikwete alikuwa akitaka mradi usipite kwenye bunge la bajeti alikuwa anamtumia swahiba wake Dr. Dau kuchota fedha NSSF.

Angalau Kikwete alikuwa hajengi kwao, anachota pensheni za wafanyakazi anaenda kuanzisha miradi isiyo na tija. Magufuli is worse off, anachota hela anaenda jenga kwao.
Hivi anajenga nyumba zake ama ni Kwa ajili ya watanzania ambao wapo maeneo ya huko Kyamyorwa, Buzirayombo, Namirembe, nk?
 
Back
Top Bottom