Ujenzi wa ghorofa moja kigamboni SQ 1800

mabwana

JF-Expert Member
Feb 15, 2012
307
316
Wakubwa naomba msaada kiwanja cha sq 1800, nataka kujenga ghorofa moja ya viyumba 5 na 1 sitiing room kitchen 2 stores na dining na jiko inaweza gharimu ngapi? Na vifaa vyake na bei na ukuta wa nyumba?
 
(Ramani,aina ya vifaa,pesa uliyonayo,) Nahisi tulia kwanza upange wewe unataka nyumba ya aina gani yenye ramani gani na una kiasi gani.

Mimi nikikwambia million 900 utanichukia
 
(Ramani,aina ya vifaa,pesa uliyonayo,)....nahisi tulia kwanza upange wewe unataka nyumba ya aina gani yenye ramani gani na una kiasi gani.

Mimi nikikwambia million 900 utanichukia
ramani hipo bei yake kujipanga
mimi nina 50 m
 
wakubwa naomba msaada kiwanja cha sq 1800, nataka kujenga ghorofa moja ya viyumba 5 na 1 sitiing room kitchen 2 stores na dining na jiko inaweza gharimu ngapi ?
na vifaa vyake na bei na ukuta wa nyumba?
Mimi ni Architect ntafute tuwekeane mkataba kwa company yangu latest design 0719208160 or 0654751075 .
 
Usikatishwe tamaa broo kwa hela hiyo Dar ukikomaa unapiga ujenzi pakubwa sana, ukizingatia cement na nondo bei iko chini ukilinganisha na huko mikoani. Anza na hiyo pesa, kikubwa simamia mwenyewe ukabe mwanzo mwisho utanipa mrejesho mkuuu. Hongera kwa kufikiria mjengo wa hivo. Safi sana
 
Ahsante sana pesa hiko itaongwezawa
 
Usikatishwe tamaa broo kwa hela hiyo Dar ukikomaa unapiga ujenzi pakubwa sana, ukizingatia cement na nondo bei iko chini ukilinganisha na huko mikoani. Anza na hiyo pesa, kikubwa simamia mwenyewe ukabe mwanzo mwisho utanipa mrejesho mkuuu. Hongera kwa kufikiria mjengo wa hivo. Safi sana
Umenipa moyo sana Asante sana
 
ungeweka na Ramani ya hlo gorofa unalotaka kujenga ingekuwa rahisi sana kufanya quantity surveying ya haraka haraka! bila ramani ni ngumu sana kukadiria! mwisho kabisa wastan wa gorofa moja nzuri na ya kisasa andaa mil.250
 
(Ramani,aina ya vifaa,pesa uliyonayo,)....nahisi tulia kwanza upange wewe unataka nyumba ya aina gani yenye ramani gani na una kiasi gani.

Mimi nikikwambia million 900 utanichukia
kasema ana 50ml,,kwa hyo 900-50=850ml,,kwa hyo inabidi ajiongeze sindyo mkuu
 
Wazo zuri ila kwa kiasi hicho kaka ni bota ujenge nyumba ya chini vyumba vitatu standard itatosha lkn usijaribu na wasikurubuni watu hiyo pesa utaishia msingi imara na nguzo za kusimama tu hutofika mbali pesa itakukata.
 
Back
Top Bottom