Mimi ni Architect ntafute tuwekeane mkataba kwa company yangu latest design 0719208160 or 0654751075 .wakubwa naomba msaada kiwanja cha sq 1800, nataka kujenga ghorofa moja ya viyumba 5 na 1 sitiing room kitchen 2 stores na dining na jiko inaweza gharimu ngapi ?
na vifaa vyake na bei na ukuta wa nyumba?
Sawa hapo umerahisisha kazi wakija wanajua waanzie wapi.....ila kwa hiyo bei duh unaweza jenga ghorofa ya maboksiramani hipo bei yake kujipanga
mimi nina 50 m
Milioni 50? hamia Mbeya itatosha na utatumia tofali za kuchomaramani hipo bei yake kujipanga
mimi nina 50 m
Ahsante sana pesa hiko itaongwezawaUsikatishwe tamaa broo kwa hela hiyo Dar ukikomaa unapiga ujenzi pakubwa sana, ukizingatia cement na nondo bei iko chini ukilinganisha na huko mikoani. Anza na hiyo pesa, kikubwa simamia mwenyewe ukabe mwanzo mwisho utanipa mrejesho mkuuu. Hongera kwa kufikiria mjengo wa hivo. Safi sana
Umenipa moyo sana Asante sanaUsikatishwe tamaa broo kwa hela hiyo Dar ukikomaa unapiga ujenzi pakubwa sana, ukizingatia cement na nondo bei iko chini ukilinganisha na huko mikoani. Anza na hiyo pesa, kikubwa simamia mwenyewe ukabe mwanzo mwisho utanipa mrejesho mkuuu. Hongera kwa kufikiria mjengo wa hivo. Safi sana
kasema ana 50ml,,kwa hyo 900-50=850ml,,kwa hyo inabidi ajiongeze sindyo mkuu(Ramani,aina ya vifaa,pesa uliyonayo,)....nahisi tulia kwanza upange wewe unataka nyumba ya aina gani yenye ramani gani na una kiasi gani.
Mimi nikikwambia million 900 utanichukia