Ujenzi wa fensi pale Mchicha barabara ya Nyerere utazamwe

Njanga Tz

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
843
654
Nmeshikwa na mshangao na ujenzi wa fensi uliofanyika pale mchicha pembezoni mwa karakana ya Tazara ikionesha dhahiri ni Yard au Kiwanda kinataka kujengwa.

Kinachoshangaza zaidi ni ukataji wa miti iliyoko mbele ya fence hiyo ambayo haiuhusiani kabisa na eneo hilo.

Miti hiyo imepandwa pembezoni mwa nyerere road toka airport na huleta kivuli kwa watembeaje wa miguu. Cha ajabu wamiliki wa eneo hilo wamekata miti hiyo eti ili fence yao ionekane.

Huwezi amini unavuka service road ndo unaikuta miti lakini wameisambaratisha yote.

Mwsho Naomba NEMC mkajiridhishe kama ile ni sehemu sahihi ya ujenzi maana najua kwa nyuma ni bonde watu wanalima michicha na vitunguu.

Natoa wito na kwa waandishi wa habari mkaone watu walivyofanya pale mchicha .
 
Last edited by a moderator:
Tazara nalo ni Jipu lakutumbua,karibu maeneo yao yote wameuza kwa Waarabu na kuwa Yard na Shell then sasa hivi wanataka kuuza maeneo yaliyoko pembezoni mwa Reli yao wanaanza kubomoa nyumba za walalahoi kwa kisingizio cha kujenga mita30 ndani ya Reli.
 
Nmeshikwa na mshangao na ujenzi wa fensi uliofanyika pale mchicha pembezoni mwa karakana ya Tazara ikionesha dhahiri ni Yard au Kiwanda kinataka kujengwa.
Kinachoshangaza zaidi ni ukataji wa miti iliyoko mbele ya fence hiyo ambayo haiuhusiani kabisa na eneo hilo. Miti hyo imepandwa pembezoni mwa nyerere road toka airport na huleta kivuli kwa watembeaje wa miguu. Cha ajabu wamiliki wa eneo hilo wamekata miti hiyo eti ili fence yao ionekane. Huwez amini unavuka service road ndo unaikuta miti lakin wameisambaratisha yote.

Mwsho Naomba NEMC mkajirizishe kama ile ni sehemu sahihi ya ujenzi maana najua kwa nyuma ni bonde watu wanalima michicha na vitunguu. Natoa wito na kwa waandishi wa habari mkaone watu walivyofanya pale mchicha .
huyu mnunuzi si alisimishwa? imekuwaje tena kaanza ujenzi?
 
Tazara wafanyakazi wanalalamika mishahara na wastaafu kila siku wamejazana pale tazara wakidai haki yao. Wakati wanafanyakazi mwajiri wao alikuwa hapeleki makato pension. Mabosi wao haswa wabongo na wazambia wameuza na kupangisha maeneo yote yale kule transit shed kuna kina lakeoil ICD badala pesa walipane inaishia mikononi mwa wajanja.wachache. Unapoajiriwa usipohakikisha pesa uliyokatwa inakwenda pension usilalamike ukistaafu
 
Back
Top Bottom