Ujenzi wa daraja la Kigamboni tumlaumu nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ujenzi wa daraja la Kigamboni tumlaumu nani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nazjaz, Apr 30, 2011.

 1. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #1
  Apr 30, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  Kigamboni kuna kero nyingi sana. Moja kati ya hilo ni usafiri usio na uhakika kati ya mjini na Kigamboni. Usafiri uliopo kwa sasa ni wa kivuko cha ferry au barabara ya kuzungukia Kongowe ambayo ni zaidi ya kilometa thelathini.
  Mradi wa daraja la Kigamboni umekuwa ukitajwa kwa miaka nenda rudi, lakini hauanzi.
  Serikali ikishirikiana na Nssf walisema wanaanza ujenzi ambapo Nssf watachangia 70'/. Na serikali ikichangia 30'/.
  Nssf wanasema wako tayari lakini wanaangushwa na serikali.
  Je sisi wananchi tumbane nani? Mbunge wetu anasema ujenzi uko mbioni kuanza, Magufuli anasema hana pesa.
   
 2. Maverick

  Maverick JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2011
  Joined: May 29, 2008
  Messages: 308
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama unafuatilia magazeti utaona tenda
  imetangazwa. NSSF inatarajia kuanza ujenzi utaanza mapema mwaka ujao. Mbunge wako yuko sahihi.
   
 3. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #3
  Apr 30, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Wakijenga daraja wale wanaopata hela za makusanyo ya kivuko watakula wapi? Wamuue nyoka kwanza ndipo litajengwa. Kuvua gamba tu haitoshi!
   
Loading...