Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,712
- 1,906
Si afadhari kukopa je waliochukua za EPA BOT na wapo wanatesa wanamaghamba huwaoni we vipi unamwona Mbowe tuu??????????Kwani Mbowe alisharudisha zile fedha za NSSF, yeye ndiye anaechelewesha huu ujenzi kachota mamillioni ya mkopo hataki kuyarudisha, au ilikuwa ni mabillioni?