Wahandisi wa Kitanzania ujenzi wa bwawa la Stiegler's Gorge!

Mifano ambayo unashindwa kuitaja!
Kama unaongelea alichozindua leo kama mfano. Utakuwa haujui maana ya copy and paste!
Unataka nitoe mifano za miradi ilizocost 600bns hiyo haipo!Na nikitoa mifano hai, it will be as good as exposing identities!
 
Experience matter, utapata wapi mbongo mwenye experience ya dams design and construction nchi hii bila kugusa wanataaluma ambao wanafanya kazi ndani na nje, hata kama wapo ni wachache sana na ni nani anawajua. Kazi zenyewe zinatokea mara moja kwa miaka 20 labda.
Wanaweza kuwachanganya wanataaluma na wengine!Hii ni kwa sababu tunawahitaji wengine zaidi kuliko wanataaluma maana hizi ni shughuli zao za kila siku
 
Yaani utege bwawa halafu upunguze uwepo wa maji?!Zilikuwa swaga za ki-IPTL ili tuendelee kukamuliwa kwenye umeme wa mafuta mazito toka DOWANS and the likes!Wakati ule hata ripoti za wataalamu zilikuwa zinachakachuliwa kirahisi mno! Kwa sasa asilimia kubwa maji yanaishia baharini badala ya kunufaisha wakulima
Itabidi ujifunze jinsi Hydro Dams zinavyofanya kazi.
Kiwango cha maji kikipungua, yale maji yanayopita yanarudishwa tena bwawani kuendelea kuzalisha umeme.
Baada ya muda utakuta hakuna maji yanayotoka kwenye bwawa.
 
Its not true, this is not viable economically!Unless you arent familiar with the costs associated with water lifting! Mabwawa yetu yote Kidatu, Kihansi, Mtera hayarudishi maji yaliyotumika bwawani!(I declare interest, that is "part" of my field)!. Hata hili halina ulazima huo kwani mto RUFIJI una maji mengi sana pengine kuliko mito yote inayotiririsha maji baharini, hakuna sababu ya msingi ya kufanya re-cycle ya maji!
 
Kuna projects lazima wahandisi waamue ndio zitaleta manufaa. Kwa bahati mbaya organization ya wahandisi sio nzuri. Inawezekana hata mkusanyiko kama huo ukaenda kisasa zaidi badala ya kitaalamu
 
Tatizo Injinia wakibongo wengi ni Copy and Paste likija suala la Designing...
Ila Magufuli anaeeza wafikiria katika ufalme wa Bwala la St. GEORGE
Sio wote...
wapo wahandisi makini. Ila organization ya wahandisi ni kama mkusanyiko as wana siasa...kinachokosekana ni uongozi wa kiuhandisi
 
In general huu mradi ulikwama kwa sababu za kimazingira zaidi, na si kiuchumi wala siasa. Kuna ripoti nilisoma mahali kwamba financiers wa Kizungu waligoma kwa sababu mradi ulikuwa unapunguza kiwango cha maji kwa watumiaji wa chini (downstream users) ambao wako hasa wilayani Rufiji.
Wazungu nao buana....Three Dam Gorge China au New project in Ethiopia zote zina hizo longolongo. Tuamue tu
 
Wataje wahandisi wa kitanzania japo wawili walio wai kushiriki kwenye mradi kama huu na utupe jina la bwawa au mradi
 
Yaani utege bwawa halafu upunguze uwepo wa maji?!Zilikuwa swaga za ki-IPTL ili tuendelee kukamuliwa kwenye umeme wa mafuta mazito toka DOWANS and the likes!Wakati ule hata ripoti za wataalamu zilikuwa zinachakachuliwa kirahisi mno! Kwa sasa asilimia kubwa maji yanaishia baharini badala ya kunufaisha wakulima
Utafikiri hiyo mitambo ya kufua umeme itakua inakunywa hayo maji kama diesel
 
Yaani utege bwawa halafu upunguze uwepo wa maji?!Zilikuwa swaga za ki-IPTL ili tuendelee kukamuliwa kwenye umeme wa mafuta mazito toka DOWANS and the likes!Wakati ule hata ripoti za wataalamu zilikuwa zinachakachuliwa kirahisi mno! Kwa sasa asilimia kubwa maji yanaishia baharini badala ya kunufaisha wakulima
Una akili ww
 
Kwan lazima wapate hayo maji ya huo mto, si tunatandaza mabomba tunawasambia maji frm any source...haawa watu wanajuaga sna kutusimamisha
 
...Then we can become the African power giant. Wanaharakati wa mazingira watatushambulia lkn faida ni maradufu kulikoni hasara
That is a huge leap for black mankind!! Let's not raise our hopes too high. Africa's power giant is South Africa with generation capacity of 50GW which is 25 times what we are presently generating. Despite such huge capacity, South Africans still face blackouts-albeit to a small extent.The whole of Stiegler's potential generation will not even make our total capacity exceed 7G.
 
NB Ours is safe Hydro power vs the unsafe nuclear energy in SA. So we become hydropower giant in Africa

Back
Top Bottom