Ujenzi wa barabara ya Tanga hadi Pangani, malipo ya watakaopitiwa na barabara mustakabali wake ni upi?

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,382
73,978
Hii barabara inapitia mitaa hii ambayo ina wakazi ambao nyumba za zimewekewa X na namba nyekundu. Ni Mwembeduga-Mwan'gombe- Mwakidila- Mwahako- Neema mpaka Pangani.

Sehemu nilizotaja watu wako wansubiria kwa hamu walipwe wapate ziada wajenge na kupata myaji. Lakini nijuavyo (I stand to be corrected) ukishawekewa alama nyekundu na namba nyekundu ni kuwa wewe ulivamia barabara hulipwi. Naomba kujua ukweli wa hili.

Kama ndivyo hakuna malipo, wawataarifu wananchi waanze kuzoea/ku absorb shock in peace meals maana ni kilio na kusaga meno
 
Mbona nilisikia wengine walishlipwa jirani na wengine waliambiwa wafungue account benki? Subiri ummi mwalim akija gombea tumuulize.
 
Mbona nilisikia wengine walishlipwa jirani na wengine waliambiwa wafungue account benki?? Subiri ummi mwalim akija gombea tumuulize

Jirani watu huku wa expectations za kulipwa. Nimeongea na mtu wa ujenzi wa barabara serikalini akasema kana kure red mark i.e X na red numbers, hulipwi. Wote njia niliyoitaja hakuna mwenye kijani wote ni red!
 
sjaelewa bado jirani so hawatalipwa?? Khaa wale wadigo sjui watakua wageni wa nani mana wengi wana matarajio ya kulipwa na hao nilosikia et walilipwa kipind cha kikwetr ila sio wote na watu wakatakiwe kufungua account s mchezo kama hawalipwi sasa ile mahakama itahamia wapi?
 
Ngoja tusubiri. jumapili Shigela wakati natoa salamu za pongezi kwa Askofu Banzi, alisema kuwa ndani ya miezi miwili mkandarasi ataanza kazi. sasa kama anaanza kazi ina maana hakuna kulipwa.
Inasemekana kweli watu walifungua akaunti, siju iliishia wapi!
Mahakama inaweza ikapona maana tetesi ni kuwa barabara italalia upande wa chini sana kuliko juu ie upande wa mahakama si sana
 
Wangebalansisha tu ikalala kote kote nawaonea huruma wallah kama hakuna kulipwa mana wengi wanazipigia hesabu hizo pesa kufanyia mambo zao

Mwanza ndo walifaidika kutovunjiwa nyumba zao pale mh. Sana aliposema hawa ndio waliompigia kura,huko kwingine jiandaeni kisaikolojia tu.
 
Wangebalansisha tu ikalala kote kote nawaonea huruma wallah kama hakuna kulipwa mana wengi wanazipigia hesabu hizo pesa kufanyia mambo zao
Kila mmoja anazipigia mahesabu, niko nao nawasikia na matumaini makubwa. Sasa nashangaa hawana mtu wa kuwatonya kuwa Red hulipwi isipokuwa kijani tu! Najiuliza kweli wote hawana mtoto wao aliyesoma kuwambia ukweli huo?
 
si kila mtu anajua jirani ndio kama hivo tena wengi watakufa na presha
 
Ile barabarani ilivyo pana vile hata mie ningekua serikali nisingewalipa kamwe
 
Mungu asaidie tu hii barabara ijengwe, tumesubiri sana. Mlioko barabarani poleni sana, rahisi wetu ni msikivu atatimiza ahadi yake ya kuwalipa. Nina mzee wangu pale neema ameuza sana viwanja vyake vya ndani kidogo, amebakiza kibanda chake pale barabarani, sasa wasipomlipa atakufa kwa presha
 
Wasipowalipa serikali yetu wajiandae kurogwa,Watu wa pangani nawaogopa sana ujue
 
Mungu asaidie tu hii barabara ijengwe, tumesubiri sana. Mlioko barabarani poleni sana, rahisi wetu ni msikivu atatimiza ahadi yake ya kuwalipa. Nina mzee wangu pale neema ameuza sana viwanja vyake vya ndani kidogo, amebakiza kibanda chake pale barabarani, sasa wasipomlipa atakufa kwa presha

Jirani soma hiyo....

LUKUVI AVUNJA NYUMBA YAKE KUPISHA UJENZI WA BARABARA

1. Akizungumza jana mara baada ya kushiriki zoezi la ubomoaji wa nyumba hiyo, Waziri Lukuvi, alisema kuwa akiwa kama kiongozi ameamua kuwa wa kwanza kuonyesha mfano kwa kuanza kuivunja nyumba hiyo ambayo kimsingi sehemu ya robo ilikuwa imepigwa alama ya X nyekundu na robo tatu ilipigwa alama ya X ya kijani, ila kutokana na kuunga mkono jitihada za Serikali katika ujenzi wa barabara hiyo, ameamua kuivunja yote na hatadai malipo yoyote.

2. Waziri wa Ujenzi atua Makete, Atoa Tamko Kuhusu Lami ya Njombe-Makete-Mbeya

“Kuweni waadilifu waliowekewa alama za kijani kwenye nyumba zao watalipwa fidia lakini wenye alama nyekundu hawatalipwa hivyo ni vizuri wote kutafuta maeneo mengine ya makazi ili kuepuka usumbufu mara zoezi la ujenzi litakapoanza”. Amesema Eng. Ngonyani.
 
Back
Top Bottom