Ujenzi wa barabara Tunduru hadi Namtumbo kitendawili

kiabasaka

Senior Member
Nov 28, 2013
146
13
Sasa umefika Kusema basi maana imekuwa ni kitendawili kisicho KUWA na jibu katika Ujenzi wa barabara ulioachiwa mashimo na makabachori wahindi wa progressive const ambao waliaminiwa kupeleka dhamana hii
 
serikali ya ccm siku zote haina nia njema kwa watu wa kusini. hebu angalia km 60 za kutoka somanga- ndundu zinajengwa huu ni mwaka wa nane sasa hazijaisha
 
Huko kusini inaonekana mumejambiwa. Na upumbavu ulivyowajaa kichwani mnapigia "KULA" ccm. Hakuna jimbo linaloongozwa na ccm likawa na maendeleo. Wabunge wenu TUNDURU hawajawahi kuongelea matatizo yenu bungeni. Ubovu wa barabara hawauoni kwani wao si sehemu ya watu wa TUNDURU.
Aione:Mh. Kinana,Mwigulu na Nape
 
Back
Top Bottom